jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kwani hao vijana wanaoandamana ni kabila gani?Hawa vijana wangekuja na solution sio kuandamana tu au kwanini kama wananguvu wasianzishe chama chao siasa halafu walete mabadiliko haya hata kama hawatashinda uraisi watapata wawakilishi bungeni wapiganie agenda zao. Kuandamana kutaka kumtoa mtu aliyechaguliwa kihalali sio sawa kama kuondoka basi kisheria lakini fujo sio njia yes a kumtoa mtu.
Kwa upande wa siasa za Kenya, tuanzie hapo.
Kama wamtokea makabila tofauti basi siyo lazima waunde chama.