Gen z wapanga kuharibu nchi yao wenyewe

Naona Gen Z wakikinukisha tena baada ya wenzao kuuawa na kufungiwa kwenye viroba kisha kutupwa kwenye dampo la takataka kule Mukuru kwa Njenga-Nairobi. Hali inaweza kuja kuwa mbaya sana
Kabisa.wamewaua vibaya sana aisee.
 
Ukiwasikiliza vizuri utaelewa Wanachofanya Wanakijua

Hii Dunia imeshabadilika 🐼
wameshapoteza ramani, kila moja wao sasa ivi anadai ndio kiongozi wa gen z taratibu wanaanza kubishana na kugawanyika na misingi ya kikabila haichelewi kuibuka tena, ndio maana kuna Ruto Must Go na Ruto Must Not go πŸ’
 
Hebu usiingize Tanzania kwenye hilo kundi la wavuta bangi wa Kenya.
mimi nimehoji tu uelekeo wa vuguvugo hili Africa Mashariki...

binafsi kwa Tanzania,
kulingana na mila, desturi na utamaduni wetu wa kistaarabu, kuheshimiana na kuskilizana hatuwezi hata kidogo kufikia hatu ya gen z wa Kenya πŸ’
 
KATI YA GEREJI NA KALAKANA ZIPI TOFAUTI KATI YA KATAVI NA OSTABEY
 
Hebu usiingize Tanzania kwenye hilo kundi la wavuta bangi wa Kenya.
mimi nimehoji tu uelekeo wa vuguvugo hili Africa Mashariki...

binafsi kwa Tanzania,
kulingana na mila, desturi na utamaduni wetu wa kistaarabu, kuheshimiana na kuskilizana hatuwezi hata kidogo kufikia hatu ya gen z wa Kenya πŸ’
KATI YA GEREJI NA KALAKANA ZIPI TOFAUTI KATI YA KATAVI NA OSTABEY
View attachment 3042217
dah,
shetani bana 🀣
 
Hata wewe utakuwa unafahamu unazuga tu🀣
 
Hata wewe utakuwa unafahamu unazuga tu🀣
nizuge nini na kivip sasa gentleman??πŸ’

chimbuko la maandamano si ni kodi tozo na ushuru kwenye finance bill? haijashughulikiwa?

ni nini ilikua nyuma yake? siasa, chuki au ukabila?

au ni hamu tu ya kuuana na kuharibu nchi kuwe na hali mbaya zaidi, halafu tena nyinyi wenyewe msulubike kuijenga tena, kwa muda mrefu zaidi?

Tatizo la Afya ya akili ni kubwa mno hususani Africa Mashariki,

na miongoni mwa dalili za Mtu mwenye tatizo la Afya ya akili ni pamoja na kuwaza na kuamua kufanya au kutenda mambo ambayo yana muathiri yeye mwenye 🀭

nani anakwenda kuathirika kwenye maandamano ya ghasia?πŸ’
 
Kwani Tanzania nani ana vuguvugu ?
binafsi sioni,
vijana wastaarabu, wana siasa wangwana sana tu, taasisi za dini na kiraia wanafanya kazi zao vizuri kwa kuheshimu serikali, wafuasi na waamini wao πŸ’
 
Hao wakalenjin wanapiga mkwara tu,Nchi nzima wakisema wasimame wamtoe huyo mtoto wao,atatoka na wataondoka naye.
Ruto kinachomponza ni ahadi zake alizotoa kwa Wananchi na alichokifanya mpaka kutokea machafuko,ni kama aliwafanyia utapeli.
Ruto bila ya ahadi za asali alizotoa kamwe asingeweza kumshinda Raila.
Ukweli wa mambo alikuwa anaujua,maana alikuwa jikoni lakini bado akawahadaa Wananchi.
Kiwango Cha Uhuru wa fikra ni kikubwa sana kwa Raia wa Kenya,watu kama hawa kuwamobilize ni jambo dogo tu kama kuwasha njiti ya kiberiti.
Ukiwasikiliza vizuri Gen Z,Kama Movement yao itafanikiwa basi watakuwa wameunda Blue Print mpya ya Demokrasia Duniani.Wanachokifanya kipo kwenye fikra za Raia wengi Afrika na Duniani lakini wamekosa courage.Gen Z wameshaishinda hofu,Serikali ya Kenya ipo Mateka!
Kinachohitajika ni kuongeza Uwazi kwenye Uendeshaji wa Nchi,Serikali iwajibike hasa kwa wananchi.
Kingine kimechochea hizi vurugu ni wanasiasa Wakenya kuishi Maisha ya anasa na kuyaonyesha mbele ya Umma wa watu maskini.Hadhi ya Utajiri kwa Kenya inaendana na Ujivuni wa hali ya juu.Hilo jambo limewakera Raia wengi,hasa Vijana.

Yaani Wananchi wanabanwa Live,upande wa Pili wanasiasa wanaishi very lavishly live!

Jazba ya Umma wa Kenya imepanda,na sababu wanazo.
Ruto akiwa makini na mnyenyekevu anaweza akavuka salama,lakini akitumia Nguvu,JESHI watamuondoa Madarakani.
 
hata kama kudeka kwasabb tu ya sheria, basi kule kulizidi mipaka na kiwango cha kuwavumilia , bali kuwaadabisha kidogo πŸ’
 
yaani atoke madarakani hivi hivi kweli?🀣

na ikiwa hivyo,
hayupo miongoni mwao atakae ingia madarakani asitolewe kwa nguvu, kama mistake ya kumtoa Ruto kinguvu itafanikiwa πŸ’

hakuna malaika kenya,
anaeweza kuongoza bila kodi, tozo na ushuru, Lazima wananchi walipe kodi, ili serikali wakalipe madeni yao ya nyuma na kukamilisha miradi ya maendeleo, licha yakwamba pia wanazo rasilimali asili za kutosha pia...

kuhusu ahadi,
hivi kwa miaka miwili unatekeleza ahadi gani kwa mfano kwa nchi kubwa kama ile? tuwe waungwana kidogo. miaka miwili ni ya upembuzi yakinifu na phisibility studies tu gentleman 🀣

rushwa kweli ipo na imekithiri mno Kenya. haihitaji mihemko, jazba na uharibifu kudeal nayo.
Mnalalamiki, mnaketi chini pamoja, mnaseti mipango ya pamoja kukabiliana nayo πŸ’

maafa ya kutisha yatatokea kenya wasipojizuia wanachokusudia kukifanya, watarudi nyuma mno kimaendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi...

umaskini wa kutupwa utarejea Kenya πŸ’
 
Hao machalii ni kama sasa hawajui wanataka nini.

Wanataka raisi atoke au kero zao zisikilizwe na kutatuliwa. Ndio demokrasia hiyo wametumia haki yao kikatiba ya kuandamana, waliyoyataka yamepata ufumbuzi.

Watulie sasa, binafsi hili vuguvugu la Ruto maust go wala siliafiki japo sio mkenya.
 
Uzi uko kimtego fulani hivi...
Anyway ni suala muda tu,,,muda wowote Uganda inaweza kutokea.
Kwetu Tanzania haiwezi kutokea hadi 2035,..
una maoni mazuri for sure,
mie naona Tz haiwez kutokea kabisa πŸ’
 
Si waje na bongo tz. Hawa mafisadi wanaitafuna sana hii jamhuri. Sema tumelala mazombi sie. Namna hawa mafisadi wanaongezea watu kodi ili wap wafaido ma VX V8 nk ni haki vijana kudai nchi yao
 
Wacha utokee ili wanyooke, ila kwa sasa wacha waendelee na vuguvugu. Kuna hasi na chanya
 
kenya siyo Tanzania' kule hakuna machawa kama yale ya lumumba
mapandikizi ya vyama vya siasa. kwamba wenzao wanatangaza maandamano wao wanaandaliwa PRESS na TISS ILI KUPINGA MAANDAMANO
Hapa kwetu ungesikia wakikuambia watangulize4 familia zao kwanza alloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…