Hawa vijana wangekuja na solution sio kuandamana tu au kwanini kama wananguvu wasianzishe chama chao siasa halafu walete mabadiliko haya hata kama hawatashinda uraisi watapata wawakilishi bungeni wapiganie agenda zao. Kuandamana kutaka kumtoa mtu aliyechaguliwa kihalali sio sawa kama kuondoka basi kisheria lakini fujo sio njia yes a kumtoa mtu.
mimi nimehoji tu uelekeo wa vuguvugo hili Africa Mashariki...
binafsi kwa Tanzania,
kulingana na mila, desturi na utamaduni wetu wa kistaarabu, kuheshimiana na kuskilizana hatuwezi hata kidogo kufikia hatu ya gen z wa Kenya 🐒