Hii ndiyo inteligensia...siyo kutengeneza mazungumzo kwenye whatsapp group na kusema watu wanataka kupindua nchi....Imenisikitisha sana. Hawa Israel wanawezaje hawa Mayahudi? Hii inawezekana vipi? Putin ashawahi kusema anahisi amezungukwa na Mayahudi wengi sana kwenye Uongozi wake. Kiasi hajui yupi ni yupi
Pata habari kamili.
View: https://x.com/vcdgf555/status/1840014956416438771?t=bPdKYLq7LtQIsz-5M7226g&s=19
Mbona kama umewasema nchi fulani kwa sauti 🤣🤣🤣Hii ndiyo inteligensia...siyo kutengeneza mazungumzo kwenye whatsapp group na kusema watu wanataka kupindua nchi....
Yeah!..walishambuliwa wakiwa kwenye mkutano, hivyo wamekufa wengiImenisikitisha sana. Hawa Israel wanawezaje hawa Mayahudi? Hii inawezekana vipi? Putin ashawahi kusema anahisi amezungukwa na Mayahudi wengi sana kwenye Uongozi wake. Kiasi hajui yupi ni yupi
Pata habari kamili.
View: https://x.com/vcdgf555/status/1840014956416438771?t=bPdKYLq7LtQIsz-5M7226g&s=19
hayo mapete yote yanakuwaga ya majini lakini hayawasaidii dhdi ya myahudi.Imenisikitisha sana. Hawa Israel wanawezaje hawa Mayahudi? Hii inawezekana vipi? Putin ashawahi kusema anahisi amezungukwa na Mayahudi wengi sana kwenye Uongozi wake. Kiasi hajui yupi ni yupi
Pata habari kamili.
View: https://x.com/vcdgf555/status/1840014956416438771?t=bPdKYLq7LtQIsz-5M7226g&s=19
Kilikuwa kikao chakuishambulia Israel so before hawajafikia malengo wao wamemalizana nao just like thatKwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Wao ndiyo walikuwa kwenye kikao cha kigaidi ili kupanga shambulio la kigaidi, wakawahiwa.Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Hatari sanaHii ndiyo inteligensia...siyo kutengeneza mazungumzo kwenye whatsapp group na kusema watu wanataka kupindua nchi....
Duh huu uandishi unaonesha kabisa ni mzee wa ilmu aka Kobazi... mpo hovyo sana kichwani.Tukitaka kupigania haki imabidi tujikane nafsi zetu asa ktk mitandao recodyetu inabaki apa watu km kins Nelson Mandela wanaishimiwa kwasababu linapokuja jambo lenyekutaka kutasfiri aki uwa awaongozwi na imani zao bali wanaongozwa na aki tu akuna kupepesa mDuhacho ukweli ni huu. Diniyangu nisamee apa ukweli ni huuu. Dini zinatufanya tuwe wapumbafu ukweli upo ivi lkn ww unafumba jicho imani ndio mwongozo gaid uyu kisa imani Nelson akuwa bwege kama ww atanyelele miaka ile dunia aikuwa kijiji lkn aligoma kuacha ukweli wa aki alisimama imala kupigania aki..
Nimefurahi sana kwa walichofanya Israel dhidi ya magaidi wa iran n hizbolla.Imenisikitisha sana. Hawa Israel wanawezaje hawa Mayahudi? Hii inawezekana vipi? Putin ashawahi kusema anahisi amezungukwa na Mayahudi wengi sana kwenye Uongozi wake. Kiasi hajui yupi ni yupi
Pata habari kamili.
View: https://x.com/vcdgf555/status/1840014956416438771?t=bPdKYLq7LtQIsz-5M7226g&s=19
Waulize hao waarab na wanaojiita waajemi, sijui wana shida gani?Hivi kukiwa na utulivu watu awawezi kuishi binadamu ni wabinafsi sana