General Abbas Nilforooshan wa Irani naye ameuawa. Hassan Nasrallah hajaondoka peke yake ana wenzie wengi

Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Sasa mkuu katika vita, hairuhusiwi kupigwa mkiwa mkutanoni?
 
Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Mbona kama umepaniki hata hueleweki umeandika nini. Mpaka sasa wastani wa vifo kati ya wayahudi na wapalestine ni. Mwisrael 1 sawa na wapalestina 95 plus Nani anapoteza?
 
Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Watapigwa tu popote pale hata wakiwa wanajisaidia.
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Dogo umeongea kama kilaza sana. Rais wa Irani ameuawa. Iran kwa nini wasimuuwe Netanyau? Intellejensia ni kupiga kichwa siyo mkia. Ndo maana Rais ana ulinzi mkubwa kuliko wewe Nyantungemwa.
 
Usidanganyike.
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Katika mbinu za kivita, Iran wala haiwezi kuikaribia Israel hata kwa mbali.

Iran ina wanajeshi wengi, makombora mengi ya kiwango duni, na tekinolojia na mbinu duni za kivita. Iran dhidi ya Israel, ina uwezo wa kuleta madhara, lakini siyo kushinda vita.
 
Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Waisraeli walimuua mtume muhd kwa sumu tu mpaka leo hajafufuka
 
Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Mgeni kutoka Facebook , hujui sababu gani Hezbollah wanapewa kichapo?
 
Kwayo Leo mmefuraiya sana kuona Lebanon wamepigika yule mzee kauwawa endeleeni kushehelekea watu sampuli zenu mkipata nafasi za yoyote ya kiuongozi ndio mnakuja kuchinja watu. Mmeandaliwa kushelekea damu za wenzenu uko mkidhani mungu wenu anawasapot
 
Bolo sijasoma mana ikiwa wasomi wetu ndio ninyi mnashehekea kuuliwa watu wakiwa ktk mkutano ulio wawazi ningesoma pengine namm ngekuwa mzambi kama ww unaeshelekea vifo vyawatu wasionaugovi naww tena awakujui afuu yawezekana unaamini mungu wako anafuraiya utendayo uhovu na utakatifu avikai pamoja. Sitawai kuandika vile ww unataka nitaandika vile naona sawa kwako ni juu yako kusoma uwezi kusoma pita mbali nilichokosea ni nyerere tu kutumia ll kusoma sio kua n akili mnajipambanua apa kweupe.
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Sema ndugu yangu mambo mengine tuww serious kabisa. Mtu anaua viongozi wake na wewe viongozi wake unawajua na uwezo wa kuwaua unao ila hawaui? Kweli inamake sense?

Hayo sio mapenzi, Hayo ni mahaba.
 
Kwayo Leo mmefuraiya sana kuona Lebanon wamepigika yule mzee kauwawa endeleeni kushehelekea watu sampuli zenu mkipata nafasi za yoyote ya kiuongozi ndio mnakuja kuchinja watu. Mmeandaliwa kushelekea damu za wenzenu uko mkidhani mungu wenu anawasapot
Ukifuatilia posts za wachangiaji wengi wanashangilia Hezbollah kupigwa na sio Lebanon.
 
Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Mbona kama umepanic🤣🤣
 
Back
Top Bottom