Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Wewe bado mtoto kwenye mambo haya ndio mqana umekuja na utoto kama huu. Kajifunze kwanza ndio urud kuchangiaKwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Kuna vitu hujui.SAYERET MATKAL au GSRU ndio wanaotekeleza hizi oparesheni ngumungumu lakini taarifa zao huwa za siri kuliko za MOSSAD
Ahaaaa.hahaaaaaHii ndiyo inteligensia...siyo kutengeneza mazungumzo kwenye whatsapp group na kusema watu wanataka kupindua nchi....
Mkuu; mbona wenzetu sijawasikia wakisema Allah Bless Hezbollah au ni lugha ngumu kwao?God Bless Israel
Hawa Jamaa Ni hatariii..duuuMOSSAD/IDF.........Ukiskia hivi vitu kimbia kama umemuona Pdiddy
Ni majini ya machale Lakini hayasaidii Kwa Mungu wa Israelhayo mapete yote yanakuwaga ya majini lakini hayawasaidii dhdi ya myahudi.
Kajaribu.Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Na Jana Waziri Mkuu Wao Kasema.. Hakuna sehemu wasiyoweza kuingia Middle East.Kuna vitu hujui.
Hao uliowataja sio intelligence organs, hao ni special comando forces kwaajil ya ku carry out impossible millitary missions, wao kazi yao ni ku engage baada ya kupewa taarifa zilizokuwa collected, analyzed wao ni ku lay down operations tu. Kwahiyo mossad ndio killa kitu. Pia hawa mossad ndio wanaowa feed Kidon as well ambapo hawa hawafany millitary mission ila covet secret assasinations kimya kimya bila kujulikana
Kwakifup mossad ni jidubwasha kuubwa sana..ndio roho ya Israel
🤔😳🙄God Bless Israel
Resources ni Chache mzee, Power struggle lazima iwepo mkuu hata Bungani tu huoni Wanyama wanavyokulana that's nature ila pia acha wafe ili ipatikane gap ya Kuzaliwa wengine ni kama Ecosystem kila Component ni Key player kwenye KufanikishaHivi kukiwa na utulivu watu awawezi kuishi binadamu ni wabinafsi sana
And God Bless LemaGod Bless Israel
Ni zaidi ya Hatari. Iko hivi: Ukitaka kumjua Mwarabu ndani ya kundi/kusanyiko la watu, ni rahisi sana. Wewe bwatuka tu; 'Hey! Myahudi anakuja" Waarabu WOTE waliopo hapo utaona ghafla wanakurupuka na kukimbilia nje.Hawa Jamaa Ni hatariii..duuu
Tulia uandike vizuri ndugu ili tukuelewe. Zingatia pia kanuni za uandishi. Mfano neno linalostahili kuanza na herufi kubwa, basi litendee haki neno hilo.Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Tunamkumbusha pia kuwa, ajifunze kuandika uzuri..Wewe bado mtoto kwenye mambo haya ndio mqana umekuja na utoto kama huu. Kajifunze kwanza ndio urud kuchangia
Daah, umemshtukia eeehDuh huu uandishi unaonesha kabisa ni mzee wa ilmu aka Kobazi... mpo hovyo sana kichwani.
Na hajaongopa wala sio kama anajisifu. Huo ni ukwel ulio waziNa Jana Waziri Mkuu Wao Kasema.. Hakuna sehemu wasiyoweza kuingia Middle East.