Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Nimechagua kua upande wa kagame kwa kua na sifa zote za kiongozi bora anazo loyal kwa watu wake wa Rwanda anaiweka rwanda kwanza na watu wake hutu and tuts na sio maslahi binafsi
Intelligence, ni baba wa ujasusi east and central Africa , labda kidogo yeriko ndo ata mfikia( jokes)
Kiongozi anae jali maslahi ya watu wake aongoze ata miaka 2000 as long as yupo kwa ajili ya watu mitano tena kwa Kagame