General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Nikutoe tu wasiwasi , taifa lipo salama tuna intelgensia hatari, je wajua toka vita ya kagera tuna mapandikizi kule tena adi leo wanajulikana ni waganda? Mwambie uyo muhoz asijaribu tuta mnywa supu asubui kabla jogoo hajawika
 
Tuendelee kujenga nchi, tuongeze zaidi barabara za lami kuunganisha mpaka vijijini, miradi mikubwa ya umeme kama Julius Nyerere, SGR , uwekezaji kwenye viwanda na manetki, Elimu, katiba mpya etc tuachane na wapuuzi kama aliyeleta huu uzi mpenda vita na mkabila
 
Kama hawakujifunza kutokana na yaliyomkuta Idi Amin, wajaribu ili wapate direct experience!
 
Naizima hoja yako kwa swali 1 tu!

Kama Kagame anaipenda Tanzania kwa nini vikosi vyake viliua askari 2 wa Tanzania na kujeruhi 4 huko North Kivu wakati wanaiteka Goma?
Kuna Upumbavu mwingi sana unaendelea Tanzania tena kuliko hata huo unaouona Uganda kwa Museveni na Mwanae Muhoozi pamoja na Rais wa Rwanda Kagame ila cha Kushangaza unaacha / mnaacha Kwanza kumalizana nayo mnakimbilia kuonyesha Chuki zenu kwa Watu wa Kabila la Watutsi na Bahima.

Halafu kutwa nikiwa Nawadharau hapa JamiiForums na kusema kuwa Wengi wenu hamna Akili mnakimbilia Kukasirika.
 
Sasa hapa aliekimbilia kukasirika ni mimi au wewe?

Umeulizwa swali umeacha kujibu swali umeenda kuongea mashudu yako humu.
 
jibu swali acha longolongo
 
Kwahyo unataka kusema cdf alionya dhidi ya wahutu au watus?

Mi nadhan alionya dhid y adui yeyote w kigen wanaoingi na agenda yao ya siri.
Halaf pia mkuu hakuna biznes yoyote ya chuki dhid ya watus au wahutu hapa tz.
Lakini kama unakumbuka jibu la Prezda PK kwa Jk, hiv unadhan yeye angejibiwa vile PK angeichukuliajd tz?.
Pia kama mtazamo wako ndo huo unataka kutuaminsha kwa hiyo jamii unayoitetea inapenda attension kama malast born, yaan mnapenda kuzngatiwa saana. Mnasahau kwamba nchi kama tz na drc zina makabila mengi sio kama huko burundi na rwanda.
Lakin mkituliza akili kuna formula rahis saana ya ninyi kuishi ktk fahari muitakayo katika mataifa ya ugenin tena bila kufosi kama ilivyosasa wala kuleta madhara.
 
Kwahyo unataka kusema cdf alionya dhidi ya wahutu au watus?
Kuna Watutsi na Wahutu na Wamalawi Wazambia Waganda nk.ambao ni raia wa Tanzania alichokuwa anakiongelea CDF ni kwa wale Wahamiaji haramu waliojipenyeza kwenye na kuingia kinyume na Sheria na hatimae kupewa nafasi za uongozi.
 
Ni rahisi kukanusha hizo habari lakini organised state violence inaweza kufanywa kwa usiri mkubwa kama yale maandalizi ya mauaji ya Kimbari Rwanda Mapanga yalipelekwa KIMYA KIMYA nani aliyejua?
Uko sahih mkuu anything can be true, coz either hutu or tutsi can be angels or devils as long as they are human beings. Otherwise nothing special from either of them, but only their acts and reactions to each tells who are them.
 
Kuna Watutsi na Wahutu na Wamalawi Wazambia Waganda nk.ambao ni raia wa Tanzania alichokuwa anakiongelea CDF ni kwa wale Wahamiaji haramu waliojipenyeza kwenye na kuingia kinyume na Sheria na hatimae kupewa nafasi za uongozi.
Yeah, ila hata wale walio raia halali ila wenye asili ya na utii kwa nchi jirani.
 
Yeah, ila hata wale walio raia halali ila wenye asili ya na utii kwa nchi jirani.
Kweni ni nani anaitii Serikali hapa Tanzania wakati hadi Mawaziri ni wapigaji ukiwauliza Wazanzibari wanakwambia wao sio Wabara wako Bara kuja kuchuma fedha.

Mtanzania ndio yuko mstari wa mbele kufungua vyuma vya reli na barabara kwenda kuvipima Screpa wewe unaonge utii gani?!

Kinachotakiwa ni UZALENDO.
 
Madaraka matamu ikitokea M23 wakifanikiwa kuimega East Congo na madini waliyo nao wanaweza kuuza wenyewe Rwanda na Uganda watakuwa hawana shughuli nao tena.

Faida ya Rwanda na Uganda kwa sasa ni kwa sababu tu, M23 hawana mbinu za ku-exploit rasimali za hilo eneo bila ya backup ya hizo nchi jirani. Lakini wakifanikiwa kupata uhuru tu na urafiki utapungua hakuna cha hadithi za ututsi wala hutu kwenye madaraka.

Chezea akili za mwafrica wewe, ukabila dini ni kwa sababu ya maslahi tu. Watu wakishatimiza malengo yao wanaanza kuangalia matumbo yao.

Tanzania inatakiwa ikae chonjo tu kuangalia sebene lao mpaka mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…