Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Aha. Kumbeeeeš¤Kweli kabisa tuliongea humu watafute kandarasi kwenda kulinda mashariki mwa Congo wakatidharau. Muda tu Trump kawaonesha huko Ukraine anaenda kwa maslahi ya kiuchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha. Kumbeeeeš¤Kweli kabisa tuliongea humu watafute kandarasi kwenda kulinda mashariki mwa Congo wakatidharau. Muda tu Trump kawaonesha huko Ukraine anaenda kwa maslahi ya kiuchumi
Kama hawakujifunza kutokana na yaliyomkuta Idi Amin, wajaribu ili wapate direct experience!JWTZ
Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba.
Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini sana kwenye theory ya Expansionism! Kwa Kagame na Muhoozi maeneo ya Afrika Mashariki yanapaswa kuwa nchi moja (imaya moja) na wao kuwa Viongozi wa hiyo nchi.
Sote tunafaham, miaka ya hivi karibuni Kagame na Muhoozi wamekuwa wakiyaimarisha sana majeshi yao. Uimarishaji huu unaenda sambamba na kununua vifaa vya kisasa vya teknolojia ya Juu sana.
Taarifa zinasema kwenye ziara ambazo Kagame amekuwa akizifanya UAE, Uturuki na nchi zingine, amekuwa akinunua vifaa vya kisasa kwa ajili ya majeshi yake ikiwemo Drones, Makombora ya kutungulia ndege na Silaha nyingine za teknolojia mpya na za kisasa.
Wito wangu kwenu!
1. Kuanza sasa wekezeni heavily kwenye mafunzo ya kutumia silaha za kisasa za teknolojia mpya. Mf. Drones makombora ya kisasa na nyinginezo.
2. Kuanzia sasa wekezeni sana kwenye kununua silaha za kisasa za teknolojia mpya. Kuanzia Vifaru, Makombora, Ndegevita na hata Ndege zisizotumia rubani (UAV/Drones)
3. Imarisheni sana Kamandi yenu ya Wanamaji. Nadhani mmejifunza namna Rwanda na M23 walivyoingia Goma na Lubavu kupitia Ziwa Kivu. Kuna haja kubwa sasa kuwa na Kambi Kubwa za Kijeshi za Wanamaji kwenye Maziwa ya Victoria na Tanganyika. Kambi hizi ziwekewe vifaa vya kisasa na bora kabisa vya kivita na Wanajeshi wetu wapewe mafunzo bora kabisa kuhudumu kwenye silaha hizo.
4. Imarisheni sana Uhusiano na Mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi hasa Marekani na China. Ingawa mnafanya vizuri kwenye hili, ila ongezeni sana ushirikiano kwenye eneo hili. Pelekeni maofisa wengi kwenye mafunzo vyuo vya nje vya kijeshi wachukue utaalam na waje kuwafundisha wenzao.
5. Mwisho ingawa sio kwa umuhimu, wekezeni basi hata kwenye mavazi mazuri na nadhifu kwa wanajeshi wetu pamoja na other protective gears (Mabuti mazuri na viatu vizuri vya kiaskari). Hivi karibuni naona Askari wetu wanavaa nguo kuu kuu zilizochoka sana. Wafanyeni askari wetu wawe proud kuvaa nguo zao. Watengenezeeni nguo na mavazi mazuri ya kijeshi yanayowafanya sio tu wawe vizuri ila wapendeze na kuonekana askari nadhifu wanaojaliwa vizuri. Kwenye hili mjifunze kwa wenzenu wa Rwanda.
View attachment 3243938View attachment 3243939
View attachment 3243925View attachment 3243927
View attachment 3243921View attachment 3243922View attachment 3243928View attachment 3243924
Ahahahahaha!!Anajulia wapi, Fesbuk?š
Vita ya nchi vs nchi haipimwi hivo.JWZT Watu sijui mnawachukuliaje.. TISS sijui mnaichukulia aje....
Hapa Africa ukitoa nchi kama 4 hakuna wa kuweza kushinda vita na Tz hayupo..
Kuna Upumbavu mwingi sana unaendelea Tanzania tena kuliko hata huo unaouona Uganda kwa Museveni na Mwanae Muhoozi pamoja na Rais wa Rwanda Kagame ila cha Kushangaza unaacha / mnaacha Kwanza kumalizana nayo mnakimbilia kuonyesha Chuki zenu kwa Watu wa Kabila la Watutsi na Bahima.Naizima hoja yako kwa swali 1 tu!
Kama Kagame anaipenda Tanzania kwa nini vikosi vyake viliua askari 2 wa Tanzania na kujeruhi 4 huko North Kivu wakati wanaiteka Goma?
Sasa hapa aliekimbilia kukasirika ni mimi au wewe?Kuna Upumbavu mwingi sana unaendelea Tanzania tena kuliko hata huo unaouona Uganda kwa Museveni na Mwanae Muhoozi pamoja na Rais wa Rwanda Kagame ila cha Kushangaza unaacha / mnaacha Kwanza kumalizana nayo mnakimbilia kuonyesha Chuki zenu kwa Watu wa Kabila la Watutsi na Bahima.
Halafu kutwa nikiwa Nawadharau hapa JamiiForums na kusema kuwa Wengi wenu hamna Akili mnakimbilia Kukasirika.
Kuna Upumbavu mwingi sana unaendelea Tanzania tena kuliko hata huo unaouona Uganda kwa Museveni na Mwanae Muhoozi pamoja na Rais wa Rwanda Kagame ila cha Kushangaza unaacha / mnaacha Kwanza kumalizana nayo mnakimbilia kuonyesha Chuki zenu kwa Watu wa Kabila la Watutsi na Bahima.Sasa hapa aliekimbilia kukasirika ni mimi au wewe?
Umeulizwa swali umeacha kujibu swali umeenda kuongea mashudu yako humu.
jibu swali acha longolongoKuna Upumbavu mwingi sana unaendelea Tanzania tena kuliko hata huo unaouona Uganda kwa Museveni na Mwanae Muhoozi pamoja na Rais wa Rwanda Kagame ila cha Kushangaza unaacha / mnaacha Kwanza kumalizana nayo mnakimbilia kuonyesha Chuki zenu kwa Watu wa Kabila la Watutsi na Bahima.
Halafu kutwa nikiwa Nawadharau hapa JamiiForums na kusema kuwa Wengi wenu hamna Akili mnakimbilia Kukasirika.
Kuna Upumbavu mwingi sana unaendelea Tanzania tena kuliko hata huo unaouona Uganda kwa Museveni na Mwanae Muhoozi pamoja na Rais wa Rwanda Kagame ila cha Kushangaza unaacha / mnaacha Kwanza kumalizana nayo mnakimbilia kuonyesha Chuki zenu kwa Watu wa Kabila la Watutsi na Bahima.jibu swali acha longolongo
Nijibu swali la Kipumbavu lililoulizwa na Mpumbavu Wewe au?jibu swali acha longolongo
Kwahyo unataka kusema cdf alionya dhidi ya wahutu au watus?Zamani hapa Tanzania na haswa Tanzania ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kulikuwa hakuna chuki dhidi ya Watutsi lakini hii Trend ya kuchukia Watutsi ilikuja baada ya Vita vya Rwanda na Wakimbizi zaidi milioni 2 kuingia Bongo Country wakimbizi hao walikuwa wengi wao ni Wahutu kutoka Rwanda ndio tukaanza kuona Chuki dhidi ya raia wa Kitutsi ikiambukizwa kwenye Taifa letu pendwa la Tanzania.
Na sasa vizazi vya Wahutu hao vimeingia hadi majeshini na sehemu nyeti miaka ijayo Jeshi letu litakuwa linahusishwa sana na Vita za maziwa makuu juzi juzi Mkuu wa Majeshi alionya lakini i think it's too late, labda Lissu akiingia.
Kuna Watutsi na Wahutu na Wamalawi Wazambia Waganda nk.ambao ni raia wa Tanzania alichokuwa anakiongelea CDF ni kwa wale Wahamiaji haramu waliojipenyeza kwenye na kuingia kinyume na Sheria na hatimae kupewa nafasi za uongozi.Kwahyo unataka kusema cdf alionya dhidi ya wahutu au watus?
Uko sahih mkuu anything can be true, coz either hutu or tutsi can be angels or devils as long as they are human beings. Otherwise nothing special from either of them, but only their acts and reactions to each tells who are them.Ni rahisi kukanusha hizo habari lakini organised state violence inaweza kufanywa kwa usiri mkubwa kama yale maandalizi ya mauaji ya Kimbari Rwanda Mapanga yalipelekwa KIMYA KIMYA nani aliyejua?
Yeah, ila hata wale walio raia halali ila wenye asili ya na utii kwa nchi jirani.Kuna Watutsi na Wahutu na Wamalawi Wazambia Waganda nk.ambao ni raia wa Tanzania alichokuwa anakiongelea CDF ni kwa wale Wahamiaji haramu waliojipenyeza kwenye na kuingia kinyume na Sheria na hatimae kupewa nafasi za uongozi.
Kweni ni nani anaitii Serikali hapa Tanzania wakati hadi Mawaziri ni wapigaji ukiwauliza Wazanzibari wanakwambia wao sio Wabara wako Bara kuja kuchuma fedha.Yeah, ila hata wale walio raia halali ila wenye asili ya na utii kwa nchi jirani.
Machawa wa wanasiasa uwapeleke frontlines you must be joking š š¤£š¤£š !Usjali tuna machawa wengi tutawapeleka frontline maana kila siku wanakuwa kwenye tv kuonyesha jinsi gani wanavyoipenda tanzania.