General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Wa Kibiti, Tanga na Kidatu Morogoro, ndiyo walikuwa wanaanza, wasingedhibitiwa na Serikali yetu imara, makanisa yangechomwa kama walivyoanza Zanzibar na Bukoba.
Wa kibiti waliwaua waislamu wenzao sanasana. Viongozi wa CCM wa zile wilaya za Rufiji na Kibiti. Na wala walikuwa hawana tatizo na wakristo.
 
Wa Kibiti, Tanga na Kidatu Morogoro, ndiyo walikuwa wanaanza, wasingedhibitiwa na Serikali yetu imara, makanisa yangechomwa kama walivyoanza Zanzibar na Bukoba.
Usiogope elewa kiini cha tatizo. Hakuna atakae kuzuia kwenda kanisani kusali. Ukisoma historia ya dini ya kiislamu kwenye zile Caliphate za karne hizo kulikuwa na wakristo wanaishi na walikuwa wanaruhusiwa kusali kadiri ya dini yao, hakuna mtu alikuwa anawapiga. Ila walitakiwa walipe kodi flani inaitwa jizyah nafikiri
 
Hiyo kodi ya jizyah kwenye tawala hizo za enzi hizo wasio waislamu walikuwa wanailipa ili waweze kuendelea kulindwa na dola hiyo ya kiislamu. Na waliopaswa kuilipa ni wanaume watu wazima tu.

Wanawake, watoto, wazee, walemavu hadi watawa (si unajua watawa kuna watawa wa kike - masista na wakiume kama vile majesuit, wafrasiskani, sijui nn nn na kadhalika) walikuwa hawalipi hiyo kodi.

Hivyo ndivyo waislamu walivyokuwa wakarimu kwa wasio waumini katika himaya zao enzi hizo
 
habarileo_tz: UGANDA - Rais wa Uganda Yoweri Museveni amefafanua kuwa vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) havipo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupigana na waasi wa M23, bali vinapambana na waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) na kusaidia ujenzi wa miundombinu.

Museveni amesema mgogoro kati ya serikali ya Congo na waasi wa M23 unapaswa kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo.

Katika taarifa aliyochapisha kwenye akaunti yake rasmi ya X, Ijumaa, Februari 21, Museveni alisema UPDF ina majukumu mawili makuu nchini DRC: kusaidia jeshi la Congo kupambana na ADF na kulinda ujenzi wa barabara ya Kasindi-Beni-Butembo.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Niliposema awali kabisa huna Akili na huna unachokijua (hasa Facts za Mgogoro huu) nilikuwa sahihi kwa Asilimia 100.
 
Tangu lini Rwanda na Uganda wamewahi kukiri kuwa vikosi vyao vinafanya mission za M23 nchini Congo?

We ulitegemea watakiri wazi? Hujaachaga tu uzwazwa na upoyoyo?
 
Mkuu inawezekana uko sahihi acha nao waende huko labda wataokoa jahazi !
 
Soma historia, kabla ya 610 AD Uarabuni mpaka India na north Africa yote ilikuwa ni ukristo. Uislam ulipoanza waliuwa WAKRISTO wote wa maeneo hayo au kuwasilimisha kwa nguvu ili waendelee kuishi. Wenyeji WAKRISTO kwa wapagani walikuwa na uchaguzi mmoja tu. Kufa au kusilimu ili ubaki hai, lakini sio kuwa huru na ukristo au upagani wako.
 
Kwanini aliyeleta hii habari yy mwenyewe asipeleke? Au hana visa ya kuingia nchini? Nawaza tyu.
Tunatambua kwamba kama ilivyo nchi zingine, nchi yetu pia ina mashushu ambao wako kila mahali ikiwemo humu mitandaoni kukusanya taarifa za kiusalama.. hivyo basi ni rahisi sana wao kuona habari hii humu hasa ukizingati jamiiforum ni moja ya social media platforms kubwa hapa nchini.... kuiandika habari hii humu kuna faida nyingi ikiwemo kutengeneza awareness kwa watanzania wengi, ambapo hata nyie machawa wa serikali kama mlikuwa hamjui basi tayari mmejua nq hivyo kama kweli ni wazalendo basi mtaifikisha sehemu husika.
 
Mambo mengine kukaa kimya tu, utakuja kuonekana mtutsi sijui mhutu, tuendelee kuiombea nchi yetu ikae ktk amani.
matokeo ya nguvu ya kiimani yanaenda sawa na nguvu ya kimaarifa.

Mungu huwa anawasaidia wale ambao tayari wameshatumia akili zao kujisaidia, huwezi ukabweteka tu ukiiacha nchi iko uchi kwa maadui halafu useme eti tuiombee nchi yetu iendelee kuwa salama.
 
Kwa hiyo wakenya kwako wewe unawaona ni watu smaaaart ehee???
 
Kwa hiyo wakenya kwako wewe unawaona ni watu smaaaart ehee???
Kulinganisha na wabongo na waganda eh? Yes they are better ndio maana mkiambiwa fungueni mipaka ya East Africa mnahara oh eti watachukua ardhi yenu! Kama hujui hili na wewe upo kulekule
 
Vitu vyote muhimu,kwa jeshi, silaha za kisasa, teknolojia mpya, mavazi, chakula, ustahamilivu, mapenzi ya nchi na kubwa zaidi ni ujasiri sina hakika na wanajeshi wetu wa sasa wale wazee wetu walikuwa jasiri kweli kweli. Angalia Congo wanajeshi wanatupa silha alafu wanakimbia wanasema Kamanyola kila mtu acheze anavyojua. Lakini pia uongozi bora na imara yaani jemedari mkuu wa majeshi na kiongozi anayepiganisha vita. Sababu za kumpiga tunazo, nia ya kumpiga tunayo na uwezo wa kumpiga tunao.....Hii ni hotuba ya kuhamasisha watu wapigane jee bado tunayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…