General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

JWTZ

Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba.

Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini sana kwenye theory ya Expansionism! Kwa Kagame na Muhoozi maeneo ya Afrika Mashariki yanapaswa kuwa nchi moja (imaya moja) na wao kuwa Viongozi wa hiyo nchi.

Sote tunafaham, miaka ya hivi karibuni Kagame na Muhoozi wamekuwa wakiyaimarisha sana majeshi yao. Uimarishaji huu unaenda sambamba na kununua vifaa vya kisasa vya teknolojia ya Juu sana.

Taarifa zinasema kwenye ziara ambazo Kagame amekuwa akizifanya UAE, Uturuki na nchi zingine, amekuwa akinunua vifaa vya kisasa kwa ajili ya majeshi yake ikiwemo Drones, Makombora ya kutungulia ndege na Silaha nyingine za teknolojia mpya na za kisasa.

Wito wangu kwenu!

1. Kuanza sasa wekezeni heavily kwenye mafunzo ya kutumia silaha za kisasa za teknolojia mpya. Mf. Drones makombora ya kisasa na nyinginezo.

2. Kuanzia sasa wekezeni sana kwenye kununua silaha za kisasa za teknolojia mpya. Kuanzia Vifaru, Makombora, Ndegevita na hata Ndege zisizo na Dubai

3. Imarisheni sana Kamandi yenu ya Wanamaji. Nadhani mmejifunza namna Rwanda na M23 walivyoingia Goma na Lubavu kupitia Ziwa Kivu. Kuna haja kubwa sasa kuwa na Kambi Kubwa za Kijeshi za Wanamaji kwenye Maziwa ya Victoria na Tanganyika. Kambi hizi ziwekewe vifaa vya kisasa na bora kabisa vya kivita na Wanajeshi wetu wapewe mafunzo bora kabisa kuhudumu kwenye silaha hizo.

4. Imarisheni sana Uhusiano na Mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi hasa Marekani na China. Ingawa mnafanya vizuri kwenye hili, ila ongezeni sana ushirikiano kwenye eneo hili. Pelekeni maofisa wengi kwenye mafunzo vyuo vya nje vya kijeshi wachukue utaalam na waje kuwafundisha wenzao.

5. Mwisho ingawa sio kwa umuhimu, wekezeni basi hata kwenye mavazi mazuri na nadhifu kwa wanajeshi wetu. Hivi karibuni naona Askari wetu wanavaa nguo kuu kuu zilizochoka sana. Wafanyeni askari wetu wawe proud kuvaa nguo zao. Watengenezeeni nguo na mavazi mazuri ya kijeshi yanayowafanya sio tu wawe vizuri ila wapendeze na kuonekana askari nadhifu wanaojaliwa vizuri. Kwenye hili mjifunze kwa wenzenu wa Rwanda.
View attachment 3243938View attachment 3243939
View attachment 3243925View attachment 3243927

View attachment 3243921View attachment 3243922View attachment 3243928View attachment 3243924
Kirahisi namna hiyo!?
 
Kitu hujasema hawa kagame na kainerugaba kitu gani kinawaunganisha. Ni wambari ya kihima mbari iliyowahi kutawala jamii za kibantu karne kadhaa kabla ukoloni wa ulaya haujafika afrika. Watutsi kina kagame hawa na wanyankole, kina museveni ni jamii ya kihima. Kwenye makabila yetu kama waha, wahangaza, wahaya na mengine maeneo ya maziwa makuu wapo jamii ya wahima. Ndani ya damu yao (DNA) wao ni watawala. Wamekua wanarithishwa hiyo kasumba kizazi na kizazi. Kwa hivyo kinachotakiwa ni mbari za kibantu waliyo wengi afrika ya kati na kusini kuungana kusitisha mpango huu wa kiwazimu wa mbari ya kihima kujiona wao ndio watawala kabila za mbari ya kibantu na zingine zifyate mkia.
 
Nimesoma mahali DRC ameenda kuomba msaada CHAD🤣🤣🤣🤣🤣

Jumuiya za EAC na SADC ni BIG JOKES!!!Member states zipo zipo tu kama jumuiya za Vikoba.UAFRICA NI LAANAAAA!!!AIBU NIMEONA MIMI😬😬😬

Kwenye hizi Jumuiya za kikanda ni UNAFIKI MTUPU UNAENDELEA.Hivyo mwenye nguvu ajitwalie tu asali na maziwa.
 
Kitu hujasema hawa kagame na kainerugaba kitu gani kinawaunganisha. Ni wambari ya kihima mbari iliyowahi kutawala jamii za kibantu karne kadhaa kabla ukoloni wa ulaya haujafika afrika. Watutsi kina kagame hawa na wanyankole, kina museveni ni jamii ya kihima. Kwenye mskabila yetu kama waha, wahaya na mengine maeneo ya maziwa makuu wapo jamii ya wahima. Ndani ya damu yao (DNA) wao ni watawala. Wamekua wanarithishwa hiyo kasumba kizazi na kizazi. Kwa hivyo kinachotakiwa ni mbazi za kibantu waliyo wengi afrika ya kati na kusini kuungana kusitisha mpango huu wa kiwazimu.
Theory za kipuuzi kama hizi ndo mmekali kama utetezi😀😀😀

Acheni PROPAGANDA na muwe serious KAINURUGABE NI CHIZI NA HUYO MJOMBA WAKE IS NOT A JOKE!!!

Kila siku ukiuliza misheni zipi zinatuweka katika medani utaambiwa mambo ya mwaka arobaini na saba mambo ya USHELISHELI,MAMBO YA MWAKIBOLWA,MAMBO YA KIBITI,MAMBO YA MADAGASCAR,,,DUNIA IMEHAMIA KWENYE DRONES NA MACOMPYUTA!!!

🚨🚨🚨Kama yule dogo alivaa mavazi ya kijeshi na akajipa nyota mbili.Mpaka leo hakuna maelezo ya kueleweka.M23 mtawaweza kweli???!!!
 
JWTZ

Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba.

Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini sana kwenye theory ya Expansionism! Kwa Kagame na Muhoozi maeneo ya Afrika Mashariki yanapaswa kuwa nchi moja (imaya moja) na wao kuwa Viongozi wa hiyo nchi.

Sote tunafaham, miaka ya hivi karibuni Kagame na Muhoozi wamekuwa wakiyaimarisha sana majeshi yao. Uimarishaji huu unaenda sambamba na kununua vifaa vya kisasa vya teknolojia ya Juu sana.

Taarifa zinasema kwenye ziara ambazo Kagame amekuwa akizifanya UAE, Uturuki na nchi zingine, amekuwa akinunua vifaa vya kisasa kwa ajili ya majeshi yake ikiwemo Drones, Makombora ya kutungulia ndege na Silaha nyingine za teknolojia mpya na za kisasa.

Wito wangu kwenu!

1. Kuanza sasa wekezeni heavily kwenye mafunzo ya kutumia silaha za kisasa za teknolojia mpya. Mf. Drones makombora ya kisasa na nyinginezo.

2. Kuanzia sasa wekezeni sana kwenye kununua silaha za kisasa za teknolojia mpya. Kuanzia Vifaru, Makombora, Ndegevita na hata Ndege zisizo na Dubai

3. Imarisheni sana Kamandi yenu ya Wanamaji. Nadhani mmejifunza namna Rwanda na M23 walivyoingia Goma na Lubavu kupitia Ziwa Kivu. Kuna haja kubwa sasa kuwa na Kambi Kubwa za Kijeshi za Wanamaji kwenye Maziwa ya Victoria na Tanganyika. Kambi hizi ziwekewe vifaa vya kisasa na bora kabisa vya kivita na Wanajeshi wetu wapewe mafunzo bora kabisa kuhudumu kwenye silaha hizo.

4. Imarisheni sana Uhusiano na Mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi hasa Marekani na China. Ingawa mnafanya vizuri kwenye hili, ila ongezeni sana ushirikiano kwenye eneo hili. Pelekeni maofisa wengi kwenye mafunzo vyuo vya nje vya kijeshi wachukue utaalam na waje kuwafundisha wenzao.

5. Mwisho ingawa sio kwa umuhimu, wekezeni basi hata kwenye mavazi mazuri na nadhifu kwa wanajeshi wetu. Hivi karibuni naona Askari wetu wanavaa nguo kuu kuu zilizochoka sana. Wafanyeni askari wetu wawe proud kuvaa nguo zao. Watengenezeeni nguo na mavazi mazuri ya kijeshi yanayowafanya sio tu wawe vizuri ila wapendeze na kuonekana askari nadhifu wanaojaliwa vizuri. Kwenye hili mjifunze kwa wenzenu wa Rwanda.
View attachment 3243938View attachment 3243939
View attachment 3243925View attachment 3243927

View attachment 3243921View attachment 3243922View attachment 3243928View attachment 3243924
Namba 4 na kuhusu vifaa vya kivitq vya kisasa, ongezea na kuboresha maslahi hasa kupindisha viwango kwenye incentive scheme ya jeshi, na nchi ijenge utamaduni wa kuwa na Rais Imara na sio Bora Rais
 
Silaha za kisasa na teknolojia vyote vinahitaji fedha kuvipata. Labda kama taifa tuangalie vipaumbele vyetu.

Kama tumeamua kuwekeza kwenye kuwalipa wenza wa viongozi, na kuwajengea mahekalu viongozi wakuu wastaafu, hayo mengine lazima yatakosekana.

You can't have your cake and eat it too.
Rwanda amepeleka Msumbiji jeshi kwa malipo na anafanya vyedi.

Nyie mnasubiri mpeleke kwa mwamvuli wa UN😀😀😀.Ombeni tenda za kupeleka majeshi kwa malipo tena ya DHAHABU.DUNIA YA LEO HAKUNA CHA BURE NDO MAANA YULE KATUNI ZELENSKI AMEBADILIKIWA MBAYA MBOVU NA TURAMPU.HAKUNA BURE WALA MJOMBA WAKE NA BURE.

📌Mkiomba tenda kwanza mnapata experience ya ground battle pili mnapata fedha za kugaramia na kulipa wanajeshi.
 
Kweli kabisa tuliongea humu watafute kandarasi kwenda kulinda mashariki mwa Congo wakatidharau. Muda tu Trump kawaonesha huko Ukraine anaenda kwa maslahi ya kiuchumi
 
Kuwaza mavita badala kufungua mipaka ili watu wetu watembeleane na kufanya Biashara ili kuinua vipato vyao.
 
Namba 4 na kuhusu vifaa vya kivitq vya kisasa, ongezea na kuboresha maslahi hasa kupindisha viwango kwenye incentive scheme ya jeshi, na nchi ijenge utamaduni wa kuwa na Rais Imara na sio Bora Rais
Kweli kabisa. Vifaa vya kisasa lazima viendane na maslahi bora ya wapiganaji wetu.
 
Hao hawatakiwi hata kufikiriwa kuwa wanaweza kufikiria hilo. Au wana ndege za kufuata mafuta uarabuni kwa ajili ya majeshi yao? Bila bandari za Tanzania na Kenya, Uganda na Rwanda hakutakuwa na utulivu hata ule mdogo walio nao.
 
Nimesoma mahali DRC ameenda kuomba msaada CHAD🤣🤣🤣🤣🤣

Jumuiya za EAC na SADC ni BIG JOKES!!!Member states zipo zipo tu kama jumuiya za Vikoba.UAFRICA NI LAANAAAA!!!AIBU NIMEONA MIMI😬😬😬

Kwenye hizi Jumuiya za kikanda ni UNAFIKI MTUPU UNAENDELEA.Hivyo mwenye nguvu ajitwalie tu asali na maziwa.
Washawaona EAC ni watu wa hovyo. Washatepeta kwa Museven na Kagame.
 
Dunia hii haina ulele mama. Kwani Rwanda na Uganda wanavyopigana Congo hawafanyi biashara?
Hizi ni zama za kuiunganisha AFRICA tusirudi kwenye zama za kuonyeshana Supremacy, kwenye Vita wanaofaidika ni wachache wanaoteseka ni wengi kwenye AMANI tunaofaidika ni wengi wanaoteseka ni wachache ambao ni wenye Viwanda vya Silaha.

Wake up Africans!
 
Namba 4 na kuhusu vifaa vya kivitq vya kisasa, ongezea na kuboresha maslahi hasa kupindisha viwango kwenye incentive scheme ya jeshi, na nchi ijenge utamaduni wa kuwa na Rais Imara na sio Bora Rais
Hili nalo neno. Nimependa hapo Rais imara na sio bora Rais.
 
Back
Top Bottom