Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa JW, huyo jenerali Mkohozi ni mchumba tuJWTZ
Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba.
Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini sana kwenye theory ya Expansionism! Kwa Kagame na Muhoozi maeneo ya Afrika Mashariki yanapaswa kuwa nchi moja (imaya moja) na wao kuwa Viongozi wa hiyo nchi.
Sote tunafaham, miaka ya hivi karibuni Kagame na Muhoozi wamekuwa wakiyaimarisha sana majeshi yao. Uimarishaji huu unaenda sambamba na kununua vifaa vya kisasa vya teknolojia ya Juu sana.
Taarifa zinasema kwenye ziara ambazo Kagame amekuwa akizifanya UAE, Uturuki na nchi zingine, amekuwa akinunua vifaa vya kisasa kwa ajili ya majeshi yake ikiwemo Drones, Makombora ya kutungulia ndege na Silaha nyingine za teknolojia mpya na za kisasa.
Wito wangu kwenu!
1. Kuanza sasa wekezeni heavily kwenye mafunzo ya kutumia silaha za kisasa za teknolojia mpya. Mf. Drones makombora ya kisasa na nyinginezo.
2. Kuanzia sasa wekezeni sana kwenye kununua silaha za kisasa za teknolojia mpya. Kuanzia Vifaru, Makombora, Ndegevita na hata Ndege zisizo na Dubai
3. Imarisheni sana Kamandi yenu ya Wanamaji. Nadhani mmejifunza namna Rwanda na M23 walivyoingia Goma na Lubavu kupitia Ziwa Kivu. Kuna haja kubwa sasa kuwa na Kambi Kubwa za Kijeshi za Wanamaji kwenye Maziwa ya Victoria na Tanganyika. Kambi hizi ziwekewe vifaa vya kisasa na bora kabisa vya kivita na Wanajeshi wetu wapewe mafunzo bora kabisa kuhudumu kwenye silaha hizo.
4. Imarisheni sana Uhusiano na Mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi hasa Marekani na China. Ingawa mnafanya vizuri kwenye hili, ila ongezeni sana ushirikiano kwenye eneo hili. Pelekeni maofisa wengi kwenye mafunzo vyuo vya nje vya kijeshi wachukue utaalam na waje kuwafundisha wenzao.
5. Mwisho ingawa sio kwa umuhimu, wekezeni basi hata kwenye mavazi mazuri na nadhifu kwa wanajeshi wetu. Hivi karibuni naona Askari wetu wanavaa nguo kuu kuu zilizochoka sana. Wafanyeni askari wetu wawe proud kuvaa nguo zao. Watengenezeeni nguo na mavazi mazuri ya kijeshi yanayowafanya sio tu wawe vizuri ila wapendeze na kuonekana askari nadhifu wanaojaliwa vizuri. Kwenye hili mjifunze kwa wenzenu wa Rwanda.
View attachment 3243938View attachment 3243939
View attachment 3243925View attachment 3243927
View attachment 3243921View attachment 3243922View attachment 3243928View attachment 3243924
Ulimpongeza rais Ndayishimiye kwa sababu ingekuwa ni faida kwa watutsi wenzako wa m23. Hata hivyo Burundi imekanusha taarifa ya kuondoa wanajeshi wake nchini Congo.Juzi kati nilikuwa namsifia Raisi wa Burundi kuhusu kurudisha Askari wake kwenye mipaka ya Buja ghafla nikaanza kushutumiwa kuwa mimi Imhotep ni "Mhutu wa Burundi" nikimpongeza Kagame au nikiongelea experience yangu kama Dereva wa Loli la mizigo ambaye nimekaa sana Rwanda Burundi na DRC naitwa "Mtutsi".
Kwahiyo nikiogea positive kuhusu Tshisekedi pia mtasema mimi ni "Mkasai" ninayejificha Runzewe?!
Jamani tuache primitive mind set.
Hivi magaidi ya Kiislamu yamayotaka Tanzania iwe Dola la Kiislamu na Watutsi wetu wa Tanzania wanaojichungia Mifugo yao nani ni "adui"?!Ila nyinyi watutsi ni adui wa taifa hili la Tz.
Isije ikawa ni yaleyaleeeeee,eti ligi kuu bora ya 4 Africa wakati giants still wanapanga matokeo wanapokutana na timu ndogoJWZT Watu sijui mnawachukuliaje.. TISS sijui mnaichukulia aje....
Hapa Africa ukitoa nchi kama 4 hakuna wa kuweza kushinda vita na Tz hayupo..
Ni watutsi!Hivi magaidi ya Kiislamu yamayotaka Tanzania iwe Dola la Kiislamu na Watutsi wetu wa Tanzania wanaojichungia Mifugo yao nani ni "adui"?!
Yamekuwa ni hayo tena mbona huwa nikimpongeza "Mama" hamniiti Mzanzibari?!Ulimpongeza rais Ndayishimiye kwa sababu ingekuwa ni faida kwa watutsi wenzako wa m23. Hata hivyo Burundi imekanusha taarifa ya kuondoa wanajeshi wake nchini Congo.
Wewe chuki ulizonazo dhidi ya mbari ya Kitutsi huenda ni mabaki ya Wahutu waliofanya Genocide huko Rwanda na kukimbilia huku kwetu Tanzania mwanzo nilikuwa nafikiria kuwa wewe ni Shombe la Kiarabu.Ni watutsi!
Una jengine?
Sijawahi kuwapenda hii jamii ya watutsi kwa mienendo yao!Ulimpongeza rais Ndayishimiye kwa sababu ingekuwa ni faida kwa watutsi wenzako wa m23. Hata hivyo Burundi imekanusha taarifa ya kuondoa wanajeshi wake nchini Congo.
Umeeleza Mambo mengi Sana kwenye bandiko lako, lakini umewashawahi kujiuliza kwamba Je, waTanzania hawa wa Sasa wako wamoja na Je, kuna utangamano wa kitaifa Kati ya Wananchi kwa Wananchi wenyewe na Kati ya Wananchi na Watawala wao waliopo katika nchi hii?Je, Wananchi wengi zaidi Wana Morali juu ya hali ya mambo jinsi yalivyo katika nchi yao au kuna migawanyiko ya kijamii miongoni mwao?JWTZ
Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba.
Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini sana kwenye theory ya Expansionism! Kwa Kagame na Muhoozi maeneo ya Afrika Mashariki yanapaswa kuwa nchi moja (imaya moja) na wao kuwa Viongozi wa hiyo nchi.
Sote tunafaham, miaka ya hivi karibuni Kagame na Muhoozi wamekuwa wakiyaimarisha sana majeshi yao. Uimarishaji huu unaenda sambamba na kununua vifaa vya kisasa vya teknolojia ya Juu sana.
Taarifa zinasema kwenye ziara ambazo Kagame amekuwa akizifanya UAE, Uturuki na nchi zingine, amekuwa akinunua vifaa vya kisasa kwa ajili ya majeshi yake ikiwemo Drones, Makombora ya kutungulia ndege na Silaha nyingine za teknolojia mpya na za kisasa.
Wito wangu kwenu!
1. Kuanza sasa wekezeni heavily kwenye mafunzo ya kutumia silaha za kisasa za teknolojia mpya. Mf. Drones makombora ya kisasa na nyinginezo.
2. Kuanzia sasa wekezeni sana kwenye kununua silaha za kisasa za teknolojia mpya. Kuanzia Vifaru, Makombora, Ndegevita na hata Ndege zisizo na Dubai
3. Imarisheni sana Kamandi yenu ya Wanamaji. Nadhani mmejifunza namna Rwanda na M23 walivyoingia Goma na Lubavu kupitia Ziwa Kivu. Kuna haja kubwa sasa kuwa na Kambi Kubwa za Kijeshi za Wanamaji kwenye Maziwa ya Victoria na Tanganyika. Kambi hizi ziwekewe vifaa vya kisasa na bora kabisa vya kivita na Wanajeshi wetu wapewe mafunzo bora kabisa kuhudumu kwenye silaha hizo.
4. Imarisheni sana Uhusiano na Mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi hasa Marekani na China. Ingawa mnafanya vizuri kwenye hili, ila ongezeni sana ushirikiano kwenye eneo hili. Pelekeni maofisa wengi kwenye mafunzo vyuo vya nje vya kijeshi wachukue utaalam na waje kuwafundisha wenzao.
5. Mwisho ingawa sio kwa umuhimu, wekezeni basi hata kwenye mavazi mazuri na nadhifu kwa wanajeshi wetu. Hivi karibuni naona Askari wetu wanavaa nguo kuu kuu zilizochoka sana. Wafanyeni askari wetu wawe proud kuvaa nguo zao. Watengenezeeni nguo na mavazi mazuri ya kijeshi yanayowafanya sio tu wawe vizuri ila wapendeze na kuonekana askari nadhifu wanaojaliwa vizuri. Kwenye hili mjifunze kwa wenzenu wa Rwanda.
View attachment 3243938View attachment 3243939
View attachment 3243925View attachment 3243927
View attachment 3243921View attachment 3243922View attachment 3243928View attachment 3243924
😂😂😂😂Wewe chuki ulizonazo dhidi ya mbari ya Kitutsi huenda ni mabaki ya Wahutu waliofanya Genocide huko Rwanda na kukimbilia huku kwetu Tanzania mwanzo nilikuwa nafikiria kuwa wewe ni Shombe la Kiarabu.
Leo Rwanda anatembea kifua mbele kwamba alivyotua tu CARBO DELGADO waasi walitawanyika😂😂😂😂.Wamewapelekea moto waasi na alshababu saivi Rais wa Msumbiji amezidi kuiamini Rwanda na anazidi kusaini mikataba mbalimbali ya kiulinzi Tz ipo inajisifu ilisaidia ukombozi enzi za KUSAKA UHURU.WE ARE DOOMED!!!Kweli kabisa tuliongea humu watafute kandarasi kwenda kulinda mashariki mwa Congo wakatidharau. Muda tu Trump kawaonesha huko Ukraine anaenda kwa maslahi ya kiuchumi
JWZT Watu sijui mnawachukuliaje.. TISS sijui mnaichukulia aje....
Hapa Africa ukitoa nchi kama 4 hakuna wa kuweza kushinda vita na Tz hayupo..
Siasa za Kimataifa waachie wenyewe!!! Hasa kuhusu SMO inayoendeshwa na Russia huko Ukraine. Jikite tu hapa hapa Kwetu nadhani wengi wetu tunaweza kukuelewa.Kumbuka: Majeshi ya Urusi/Putin yameshindwa kabisa kuiteka Ukraine yote na kuondoa Utawala wa Bw. Zelensky kule Ukraine siyo kwa sababu nchi ya Ukraine imepewa Misaada mingi Sana ya silaha kutoka kwa washirika wake wa Marekani na NATO, Bali ni kwa sababu Wananchi wengi zaidi wa Ukraine wameungana Sana kupita kiasi na Wananchi wengi zaidi pia wanaiunga mkono sana Serikali iliyopo katika nchi yao.m ya Ukraine.
Wewe ni Mhutu unayejificha Kilwa Komera! Komera! Unaogopa nini kusema au unafikiria Max Mello ni Immigration Officer?!😁😆Kwetu Kilwa.
Kwani Rais Paul Kagame na CDF Muhozi Museven wa Uganda ni Watanzania?Siasa za Kimataifa waachie wenyewe!!! Hasa kuhusu SMO inayoendeshwa na Russia huko Ukraine. Jikite tu hapa hapa Kwetu nadhani wengi wetu tunaweza kukuelewa.
Sawa! Wala kwangu haina shida!Wewe ni Mhutu unayejificha Kilwa Komera! Komera! Unaogopa nini kusema au unafikiria Max Mello ni Immigration Officer?!😁😆