General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Kirahisi namna hiyo!?
 
Kitu hujasema hawa kagame na kainerugaba kitu gani kinawaunganisha. Ni wambari ya kihima mbari iliyowahi kutawala jamii za kibantu karne kadhaa kabla ukoloni wa ulaya haujafika afrika. Watutsi kina kagame hawa na wanyankole, kina museveni ni jamii ya kihima. Kwenye makabila yetu kama waha, wahangaza, wahaya na mengine maeneo ya maziwa makuu wapo jamii ya wahima. Ndani ya damu yao (DNA) wao ni watawala. Wamekua wanarithishwa hiyo kasumba kizazi na kizazi. Kwa hivyo kinachotakiwa ni mbari za kibantu waliyo wengi afrika ya kati na kusini kuungana kusitisha mpango huu wa kiwazimu wa mbari ya kihima kujiona wao ndio watawala kabila za mbari ya kibantu na zingine zifyate mkia.
 
Nimesoma mahali DRC ameenda kuomba msaada CHAD🤣🤣🤣🤣🤣

Jumuiya za EAC na SADC ni BIG JOKES!!!Member states zipo zipo tu kama jumuiya za Vikoba.UAFRICA NI LAANAAAA!!!AIBU NIMEONA MIMI😬😬😬

Kwenye hizi Jumuiya za kikanda ni UNAFIKI MTUPU UNAENDELEA.Hivyo mwenye nguvu ajitwalie tu asali na maziwa.
 
Theory za kipuuzi kama hizi ndo mmekali kama utetezi😀😀😀

Acheni PROPAGANDA na muwe serious KAINURUGABE NI CHIZI NA HUYO MJOMBA WAKE IS NOT A JOKE!!!

Kila siku ukiuliza misheni zipi zinatuweka katika medani utaambiwa mambo ya mwaka arobaini na saba mambo ya USHELISHELI,MAMBO YA MWAKIBOLWA,MAMBO YA KIBITI,MAMBO YA MADAGASCAR,,,DUNIA IMEHAMIA KWENYE DRONES NA MACOMPYUTA!!!


🚨🚨🚨Kama yule dogo alivaa mavazi ya kijeshi na akajipa nyota mbili.Mpaka leo hakuna maelezo ya kueleweka.M23 mtawaweza kweli???!!!
 
Namba 4 na kuhusu vifaa vya kivitq vya kisasa, ongezea na kuboresha maslahi hasa kupindisha viwango kwenye incentive scheme ya jeshi, na nchi ijenge utamaduni wa kuwa na Rais Imara na sio Bora Rais
 
Rwanda amepeleka Msumbiji jeshi kwa malipo na anafanya vyedi.

Nyie mnasubiri mpeleke kwa mwamvuli wa UN😀😀😀.Ombeni tenda za kupeleka majeshi kwa malipo tena ya DHAHABU.DUNIA YA LEO HAKUNA CHA BURE NDO MAANA YULE KATUNI ZELENSKI AMEBADILIKIWA MBAYA MBOVU NA TURAMPU.HAKUNA BURE WALA MJOMBA WAKE NA BURE.

📌Mkiomba tenda kwanza mnapata experience ya ground battle pili mnapata fedha za kugaramia na kulipa wanajeshi.
 
Kweli kabisa tuliongea humu watafute kandarasi kwenda kulinda mashariki mwa Congo wakatidharau. Muda tu Trump kawaonesha huko Ukraine anaenda kwa maslahi ya kiuchumi
 
Kuwaza mavita badala kufungua mipaka ili watu wetu watembeleane na kufanya Biashara ili kuinua vipato vyao.
 
Namba 4 na kuhusu vifaa vya kivitq vya kisasa, ongezea na kuboresha maslahi hasa kupindisha viwango kwenye incentive scheme ya jeshi, na nchi ijenge utamaduni wa kuwa na Rais Imara na sio Bora Rais
Kweli kabisa. Vifaa vya kisasa lazima viendane na maslahi bora ya wapiganaji wetu.
 
Hao hawatakiwi hata kufikiriwa kuwa wanaweza kufikiria hilo. Au wana ndege za kufuata mafuta uarabuni kwa ajili ya majeshi yao? Bila bandari za Tanzania na Kenya, Uganda na Rwanda hakutakuwa na utulivu hata ule mdogo walio nao.
 
Washawaona EAC ni watu wa hovyo. Washatepeta kwa Museven na Kagame.
 
Dunia hii haina ulele mama. Kwani Rwanda na Uganda wanavyopigana Congo hawafanyi biashara?
Hizi ni zama za kuiunganisha AFRICA tusirudi kwenye zama za kuonyeshana Supremacy, kwenye Vita wanaofaidika ni wachache wanaoteseka ni wengi kwenye AMANI tunaofaidika ni wengi wanaoteseka ni wachache ambao ni wenye Viwanda vya Silaha.

Wake up Africans!
 
Namba 4 na kuhusu vifaa vya kivitq vya kisasa, ongezea na kuboresha maslahi hasa kupindisha viwango kwenye incentive scheme ya jeshi, na nchi ijenge utamaduni wa kuwa na Rais Imara na sio Bora Rais
Hili nalo neno. Nimependa hapo Rais imara na sio bora Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…