General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

JWZT Watu sijui mnawachukuliaje.. TISS sijui mnaichukulia aje....

Hapa Africa ukitoa nchi kama 4 hakuna wa kuweza kushinda vita na Tz hayupo..
Licha ya uwepo wao lakini nasikia Kuna mapandikizi kibao ndani ya nchi na serikalini Tena wengine wapo ktk ngazi za maamuzi.

Swali ni je walipenyaje mpaka kufika huko?
 
Kweli kabisa tuliongea humu watafute kandarasi kwenda kulinda mashariki mwa Congo wakatidharau. Muda tu Trump kawaonesha huko Ukraine anaenda kwa maslahi ya kiuchumi
Hakuna cha bure kama DRC wana DHAHABU ya kutupa walete MATRUNKER YA KUTOSHA TUWAPE ULINZI HATA FOR 10YRS
 
yani inalichukulia poa jeshi letu eti wana tuogopa vibaya hao
 
Kununua na hujui utatumia lini ni upuuzi na kupoteza hela ni bora tutafute mwekezaji ajenge kiwanda cha kutengeneza silaha hapa hapa Tanzania anza
 
Ili baadaye mseme nyinyi ni watanzania na mnataka mjulikane na mtambulike?

Eti?
Mbona unanivua uraia wangu au shida iko wapi?!

Aisee huwa unaniboa sana njoo na HOJA moto moto.
 
Halafu nasikia vifaa vyao ni vile alivyotumia Sasha kwenye escape from Sobibor
 
Vita ni biashara, Marekani smefanya biashara kubwa kwenye vita ya Ukraine.
Ukisikia Marekani anatoa fighter jets, zimenunuliwa hizo no free lunch
 
Muhoozi na Kagame wote hamna kitu
 
Mbona unanivua uraia wangu au shida iko wapi?!

Aisee huwa unaniboa sana njoo na HOJA moto moto.
Ulishajivua muda tu!

Yaani pale naona moto, naona mchicha, naona nyanya na vitunguu....

Ukiunganisha nukta inajulikana kinachotengenezwa ni mboga.

Mgogoro huu wa Rwanda na DRC pamoja na makeshi ya Tz yaliyopo huko, maneno yako yakiunganishwa yanaleta picha kamili kuwa wewe si mtanzania. Wewe ni mtutsi wa Rwanda.

Hata kama ukisema wewe ni mtanzania basi ni mwenye asili ya ututsi.

Na changamoto uliyokuwa nayo ndiyo changamoto tunayoipigia kelele humu! Mpo loyal sana kwa Rwanda hali ambayo inayoibua maswali mengi kwa nchi jirani zenu.

Wewe kiumbe wa namna hii utajiitaje mtanzania?

Unafikiri humu ndani watu ni wajinga? Watu wa kaliba yangu, wakishika hii nchi, nyote nyinyi mtalamba lolo!
 
Mgogoro huu wa Rwanda na DRC pamoja na makeshi ya Tz yaliyopo huko, maneno yako yakiunganishwa yanaleta picha kamili kuwa wewe si mtanzania. Wewe ni mtutsi wa Rwanda.
Juzi kati nilikuwa namsifia Raisi wa Burundi kuhusu kurudisha Askari wake kwenye mipaka ya Buja ghafla nikaanza kushutumiwa kuwa mimi Imhotep ni "Mhutu wa Burundi" nikimpongeza Kagame au nikiongelea experience yangu kama Dereva wa Loli la mizigo ambaye nimekaa sana Rwanda Burundi na DRC naitwa "Mtutsi".

Kwahiyo nikiogea positive kuhusu Tshisekedi pia mtasema mimi ni "Mkasai" ninayejificha Runzewe?!

Jamani tuache primitive mind set.
 
Hayo utayajua mwenyewe!

Ila nyinyi watutsi ni adui wa taifa hili la Tz.

Periodt.

And by the way, mimi siwapendi. Na kutowapenda mimi ni kwa sababu ya mapenzi na hii nchi ya Tanzania.
 
Unamuongelea huyo mtoto wa mama lopolopo hata asingekuwa babaake kumpa hiyo kazi huyo bwege hafai hata kuwa kiongozi wa sungusungu.
Atamsumbua nani?
Unaota wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…