General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

JWZT Watu sijui mnawachukuliaje.. TISS sijui mnaichukulia aje....

Hapa Africa ukitoa nchi kama 4 hakuna wa kuweza kushinda vita na Tz hayupo..
Kama hayo uyasemayo ni kweli basi ni heri.

Unajua ukiwa na jirani mkorofi lazima ujiweke sawa maana muda wowote anaweza kukuchokoza.

Majirani hawa wawili ni kimeo Sana afadhali hata Kenya wao ukorofi wao upo kiuchumi zaidi.
 
Tujitahidi kwenye kuongeza self sufficiency kwenye Milirltary Industrial complex yetu - tuongeze kiasi cha zana za kijeshi tunazozalisha. Tujifunze kwenye mgogoro wa Ukraine na Urusi - US wanamkalia kooni sasa Ukraine sababu ya kuwa ombaomba, Russia anasustain sababu anazalisha kwa kiwango kikubwa silaha zake.
Kile kiwanda cha Nyumbu kina hali gani, wanatengeneza nini pale kwa sasa.
Vitu kama: Viatu vya kijeshi, magwanda, vitu vingine vidogo vidogo, risasi, drones za kawaida tuwekeze huko for future preparations - Dunia ya sasa ni kama haina kiongozi anayesikilizwa.
Vita au operation za kijeshi ni very expensive tukiweka import substitutio kwa kiasi chake kwanza tutaongeza ajira, pato la taifa, tutauza nje, n.k.
Kutumia vifaa vya nje 100% too risk kwa long term conflicts.Tujifunze kwa issue za Hezbolla - Lebanon, na Israel zile pagers - zilivyolipuka nchi yote na kusababisha maafa.
Dunia inaenda kasi sana, tukibaki tunashindwa kuelewana katika Katiba tu - tunabishanabishana, tunaendekeza wizi na udokozi wa mali za umma miaka 100 mbele watoto wetu wanaweza kutawaliwa tena.
 
Tz ni giant military nation kwa ukanda wa mashariki na maziwa makuu,
Hakuna atakae katiza pua yake kwetu,
Uganda anajua hili.
Mkoa wa Rwanda unajua hili.
Congo ndio sisemi hawa tunapiga hata kwa mawe.

Kamwe tz haichezewi,nahatujalala tuko macho 22/7
Sisi tunajua kila move mnayo fanya nyie wa wafuga ng'ombe.
 
Rwandan genocide ilikuwa triggered baada ya ndege ya raising wa rwanda kudunguliwa angani.
Upo hapo.
Hiyo ilikuwa ni signal tu ili mauaji yaanze Mapanga yalipelekwa na Kabuga Felicien siku nyingi kabla.
 
Genocide ilisababishwa na chuki za Muda mrefu baina ya civilian rwanda.
Tena kwa pande zote mbili.
 
Theory za kipuuzi kama hizi ndo mmekali kama utetezi😀😀😀

Acheni PROPAGANDA na muwe serious KAINURUGABE NI CHIZI NA HUYO MJOMBA WAKE IS NOT A JOKE!!!

Kila siku ukiuliza misheni zipi zinatuweka katika medani utaambiwa mambo ya mwaka arobaini na saba mambo ya USHELISHELI,MAMBO YA MWAKIBOLWA,MAMBO YA KIBITI,MAMBO YA MADAGASCAR,,,DUNIA IMEHAMIA KWENYE DRONES NA MACOMPYUTA!!!


🚨🚨🚨Kama yule dogo alivaa mavazi ya kijeshi na akajipa nyota mbili.Mpaka leo hakuna maelezo ya kueleweka.M23 mtawaweza kweli???!!!
Wewe utakua mtutsi. Usitutoe kwenye reli maana ndio zenu. Tunajua tunachokiongelea.
 
Tuendelee kuingiza siasa za CCM kwenye Majeshi yetu. Matokeo tumeanza kuyaona.
 
Back
Top Bottom