Kama hayo uyasemayo ni kweli basi ni heri.JWZT Watu sijui mnawachukuliaje.. TISS sijui mnaichukulia aje....
Hapa Africa ukitoa nchi kama 4 hakuna wa kuweza kushinda vita na Tz hayupo..
Unajua ukiwa na jirani mkorofi lazima ujiweke sawa maana muda wowote anaweza kukuchokoza.
Majirani hawa wawili ni kimeo Sana afadhali hata Kenya wao ukorofi wao upo kiuchumi zaidi.