Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake



Pia anaigiza picha za X-ray ila soko lake liko Latin America
 
Kwani bongo movies hakuna watu wenye degree? Pasta Mihamba je
Wapo wangapi walienda shule kwenye kiwanda Cha bongo movie? Huyu uliemtaja hata uongozi hajapewa kiongozi wao Ni Steve Nyerere mtoto wa mjini janja janja unategemea atarise hoja gani ya msingi huko kwenye vikao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada ana ugonjwa wa kudumu ila misigara na mipombe inampeleka puta.
 
Ila Huyu dada anasifika kwa michezo ya Amber Ruth
 
Ila hii biashara ya Real Estate ni nzuri aseeh kwa wasiopenda stress za biashara.
 
Ritah Dominic Ndo anA mkwanja mrefu zaidi, gene anashika namba mbili


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
My crush
 
mtoto mkali! mbona kama ana miaka 35 😜

ila... kweli yote haya kayapata kwa kuvungua scripts na kumemoraizi mistari? bila kukitembeza kwa wenye dau ambao wanalipa show kama anavyopokea kwenye sanaa yake?

nilikuwa namjua binti hapa bongo alikuwa analipwa mshahara wa mil 1.5 ila kwenye heka heka zake za starehe alikuwa anaingiza hiyo hiyo 1.5 ndani ya siku mbili (ijumaa, jumamosi)!

sishangai kabisa ila hongera zake kwa kuwa hustler mwenye mtazamo maana wengi huwa hawana mtazamo wa kesho-kutwa wala wiki ijayo!
 

Mkuu huyu ana karibu 15 years kwenye game, kwahiyo hajaanza kukamata leo Hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…