mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Geneveive Nnaji mwenye miaka 40 Ni moja wa waigizaji wanaoheshimika zaidi nchini Nigeria na kiwanda cha uigizaji cha Nollywood.
Nnaji Ni muigizaji asiependa makuu Wala Kiki.
Nchini Nigeria anaheshimika zaidi na kupendwa kutokana na sifa kubwa ya kutobadilisha rangi yake na kuishi simple japokuwa anautajiri mkubwa.
Geneveive alianza kuigiza wakati akisoma shahada katika chuo kikuu Cha Lagos.
Mwaka 2018 Geneveive Nnaji alipiga pesa ndefu zaidi baada ya movie yake LionHeart kununuliwa na Netflix kwa milioni $3.5 za kimarekani.
Kwasasa muigizaji huyo anamalizia mjengo wake mkubwa zaidi Real Estate mwenye upana wa mita zaidi ya 50 uliopa Abuja kwa ajiri ya biashara na ofisi mbalimbali.
Hii Ni baadhi ya mijengo yake iliyopo Nigeria na Ghana.
Wasanii wa Bongo Movie nna Cha kujifunza hapa maana siku hizi kazi mnayofanya Ni kuzindua miradi ya serikali Mara mtembelee standard guarge, treni ya umeme na shughuli za chamaView attachment 1042991View attachment 1042992View attachment 1042993View attachment 1042994View attachment 1042995View attachment 1042996View attachment 1042997View attachment 1042998
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia anaigiza picha za X-ray ila soko lake liko Latin America