Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
- Thread starter
- #21
50,000,000. Wewe je?Umeingiza bei gani Kwa andiko km hiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50,000,000. Wewe je?Umeingiza bei gani Kwa andiko km hiki?
Madawa ya kulevya yalithibiwa kwa kiasi kikubwa wakati wa JPM. JPM alideal na wale madon wakubwa wengi kimyakimya waliokuwa wanatamba mjini wakati wa Kikwete. Kabla ya awamu ya tano Tanzania ilikuwa kati ya major transit point ya madawa ya kulevya duniani. USA waliomba Tanzania iwa- extradite Kingpin kadhaa Marekani.Hii ni misinformation na disinformation.
Kule Ulaya wanasema Jakaya Kikwete alipoondoka ndipo wakaanza tena kupata madawa ya kulevya kwa bei nafuu.
Ukiangalia website ya State Department utaona kwamba Tanzania ni nchi inayoshabikia biashara ya madawa ya kulevya.
Marehemu alikuwa kiongozi shupavu sana. Alifanya mengi ndani ya muda mfupi. Ikiwa ni pamoja na kushughulika na sisi wa vyeti fake.Umeandika ngonjera ndefu sana lakini imekosa content.
Unasema tu kuwa Magufuli alia-act katika panic mood, lakini hujasema ni yapi hayo ambayo aliyatenda in panic mood!! Ndiyo hayo ya kum-shoot Ben Sanane kwa mkono wake? Ndiyo hayo ya kumwua Azory Gwanda? Ndiyo hayo ya kutaka kumwua Tundu Lisu? Umezungukazunguka sana lakini hujasema huo uovu alioutenda katika panic mood..
Kikubwa hapa unachotaka kuonesha ni kuwa marehemu alikosa sifa muhimu za uongozi, maana kiongozi inatakiwa wakati wote, katika mazingira ya aina yoyote anatakiwa awe na uwezo wa kudhibiti hasira yake, na kufanya maamuzi ya busara katika kila jambo. Lakini wewe unataka kutuaminisha kuwa marehemu hakuwa na busara, na alikuwa anaamua na kufanya mambo in panic mood, ndicho ulichokilenga?
Wamechoka, ngoja tusome tuHaya mambo haya!!
Kabisa!!Wamechoka, ngoja tusome tu
Sound adviceHayo unayo sema ni kweli.
Ndo maana tunasema the guy was not smart enough for the Job.
You need shap & fine knife to cut a piece of cake, sasa that lilikua panga lile au shoka kabisa ndo mlitaka likate keki? Mwishowe anaishia kuitawanya tuu.
Nauhakika alikua anasshauriwa kila step anayotaka kufanya na watu wa usalama, lkn anashupaza shingo kwa kuona wanampangia cha kufanya.
Jamani, Vijana hata ukipewa taasisi uiongoze kama kuna mabadiriko unafala kufanya na unajua yatagusa ugari wa watu be smart otherwise it will end in tears, na histolia itakuandika kama looser na wao wamewin
Inaonekana hakuna unachojua.Kuna ukweli mkubwa.
Ukiangalia wakati ule wa mambo ya Kibiti, Mkuranga, Mawazo, Zitto Kabwe hasa Kabendera walitumika kuandika kwenye magazeti ya kigeni kwamba nchi haina amani, haki za binadamu zinavunjwa, Tanzania iwekewe vikwazo, kuwe na uchunguzi wa kimataifa kisa magaidi wengi waliuwawa.
Magufuli aliamua kudeal na magaidi jino kwa jino, kuwauwa wote bila kupotezeana muda kuwafikisha mahakamani.
Hawa ni magaidi waliokuwa wanaua watu ovyo, wanavamia vituo vya polisi, kuua askari na kuchukua silaha zao. Zitto na Kabendera hawakuwahi kutetea haki za hawa waliouwawa na magaidi bali walikuwa mbele kutetea haki za magaidi.
Kabendera alikuwa analipwa pesa nyingi sana kwa article chache obvious alikuwa na bado anatumika na bado anatumiwa na vyombo vya ujasusi vya magharibi kusambaza pesa kwa wakala wao hapa Tanzania.
Sasa hivi anatumika kumchafua JPM kuweka mambo sawa kwa uchaguzi wa October 2025 kwa kumbambikia uchafu wowote, vitu vyote vichafu, kashfa zote za ovyo unazoweza kumpa binadamu bila ushahidi wowote.
Lakini nashangaa Magufuli alifariki mwaka 2021 haya ya sasa yanawasaidia nini hawa ndugu?
huyu alikuwa mwamba kwelikweli.. sijajua kama kuna sheria Inamruhusu marehemu kushaki iwapo tu atachafuliwa kama haipo inabidi hiki kipengele kiwekwe..Mwamba alileta heshima kila kona huko kwenye local Goverment ilikuwa full kuheshimiana na kuokopana uwekibarua, wamkataba mfupi au mwajiriwa rasmi ilikuwa heshima sahv watu wanatengenezewa zengwe wanafukuzwa kama mbwa aliyeiba mayai hakuna cha malipo yoyote wanatengenezewa makesi hatimaye kuludi kwenye ufukara wa hali ya juu sisema mama hafanyi kazi hapana ila wanamzunguuka na kujuana kwingi sambamba na kulindana katika kazi...R.I.P Magufuli daima tutakukumbuka.Vita ya uchaguzi imeanza mapema sana lakini pia ajabu watawala wameanzia battle na marehemu ambae hana madhara wanawaacha wapinzani walio hai wenye madhara inashangaza sana.
Kuna jambo linajionesha hapa kuwa matendo yake na heshima yake bado inaishi kwenye mioyo ya wapiga kura na inawaumiza watawala. R.I.P Magufuri better try than never.
Wanaomkataa Magu the Great ni Wapumbavu.Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu.
Mara baada ya Magufuli kuingia madarakani haraka sana alitangaza vita dhidi ya Mafisadi,wahujumu na wauza madawa ya kulevya.
Siku zote haya makundi popote pale duniani huhusisha Viongozi wakubwa Serikalini wa Chama pia na Taasisi mbalimbali. Mtandao huu ulikuwa mkubwa ukihusisha na watoto wa Vigogo ambao walijiwekea pesa nying sana offshore. Kwenye mabenk ya kimataifa huko nje na nyingine kwenye majumba yao.
Ndani ya serikali yake akaanza kutengeneza maadui. Ni wazi asingeweza badilisha kila mtu kila nafasi aliyokuwa nayo kuweka mtu mpya. Kuna watu ambao waliendelea kuwa waaminifu kwa viongozi waliopita kwa kuwapa taarifa na kuamua kumkomoa kutokana na kuziba baadhi ya njia za kifisadi na wizi wa mali ya umma.
Mnakumbuka mmoja ya Wauza madawa ya kulevya ambaye alikamatwa na alikuwa jeuri akapiga simu kwa mkuu wa taasisi ambaye kumbe wakati anapigiwa simu alikuwa na Magufuli na Mkapa. Mkuu wa taasisi akaambiwa aweke Loud speaker. Raia yule wa kigeni akaanza kulalamika na kutukana kuwa vijana wake wamemdhalilisha kumkamata.
Akata mstaafu mmoja mkubwa ajulishwe. Hakujua kuwa aliwekwa loud speaker. Magufuli alikasirika sana na kusema huyo mstaafu anamharibia nchi. Kama si busara za Ben Mkapa hali ilikuwa mbaya sana. Aliyekuwa mkuu wa taasisi mojawapo ya ulinzi aliondolewa yule aliyekuwa anashirikiana na wauza madawa ya kulevya.
Hali hiyo ya kutoridhishwa na Magufuli iliendelea.naye akijua maeneo ambayo kuna ufisadi mwingi ulitengenezewa ngome. Mishahara hewa ilikuwa ni moja ya kitega uchumi kwa baadhi ya viongozi taasisi flani flani.
Likaja suala la vyeti fake. Yes. Kuna watu ambao tulifaidika sana na vyeti fake na hawa walipewa taasisi kadhaa wakafanye kazi huko. Ufanisi ukapungua sana. Vyeti vingi vilichongwa kwa ngazi za Diploma,Degree na Masters. Hasa Diploma na Degree. Hawa ulikuwa unawakuta wengi tu serikalini. Wizarani na mashirika kadhaa ya serikali. Hawa walikuwa pigo jingine katika taifa ambao pia waliadhirika sana na utawala wa magufuli.
Kumbukeni walikuwa na ndugu, walikuwa na watoto na walikuwa vijana pia. Wakasambaza chuki na kisasi sababu ya wazazi na watoto wao. Mimi kazini nilishuhudia ofisini watu 17 wakiwa na vyeti fake. Wakaondolewa kazini. Wakiwa nafasi nyeti sana wengine.
Kisasi na chuki kikawa kikubwa. Magufuli alifikia hatua akawa hamuamini mtu. Sababu alijua kila mara kuna watu walikuwa wakitoa taarifa nje kwa mtandao flani. Mtandao wa kifisadi, mtandao wa wauza madawa.
Hali hii iliendelea na wengine wakaona waje na mbinu mbadala. Ya kumchafua kwa kila namna na kutengeneza hali ya kutoaminika au kukosekana amani. Naye Magufuli akakosa subra akawa na hasira na chuki kwa watu kadhaa. Mara nyingi Ben Mkapa na Askofu Pengo ndiyo ambao waliweza mtuliza. Hata siku ile amemfungia ikulu chini ya uangalizi mke wa mstaafu mmoja mhuni. Aliyeenda kumwomba amwachie alikuwa Ben na Pengo. Hawa ndo Magufuli aliwaelewa na kukubaliana nao kuwa basi asawazishe kwa kumpa nafasi huyo mke kuondoa chuki na mstaafu.
Kama haitoshi ndo yakaibuliwa na Kibiti. Waliokuwa wakifanya ugaidi Kibiti ni watanzania ambao walikuwa wakifadhiliwa na watanzania wengi wakiwa ni viongozi wastaafu. Makusudi waliamua kuleta hali ya sintofahamu katika utawala wa Magufuli. Hawa walikuwa wakipata taarifa za ndani kabisa za kipolisi. Vikao vyote ambavyo vilikuwa vya kimkakati kuwadhibiti walikuwa taarifa zake wanazipata.
Wahusika walikuwa matajiri kadhaa kwa kushirikiana na viongozi wastaafu na waliokuwa katika taasisi za serikali. Hali ilikuwa mbaya kwa askari wetu wengi kuuawa na baadhi ya watu ambao walikuwa wakisalitiwa na wenzao.
Ndipo jeshi lilipoomba kushughulika lenyewe bila kushirikiana na askari. Ndo kwenda kumaliza ule uasi wa kigaidi. Hapo ilibidi watumike baadhi ya watu ambao walikuwa kwa kujua ama kutojua wakicheza ngoma za kichawi. Waandishi kama akina Azory Ngwanda (Mungu airehemu familia yake) na akina Erick Kabendela.
Hawa walitumika kimataifa na kitaifa kuandika mambo ya kweli na yasiyo ya kweli kuuchafua utawala ambao ulishaamua nao liwalo na liwe. Magufuli aliendelea naye kuact katika panic mode na wenzie wakitumia nafasi hiyo hiyo kumtengenezea mambo ya hovyo.
Kumbuka kipindi hiki kisiasa alikuwa ameshagoma kuwa anawapa bakshishi akina Zitto, Mbowe et al. Hawa walizoea kuwa wanapoyakoroga sana wanaitwa na Rais anawatuliza wanatulia. Magufuli aliwakataa hawa na kutengeneza uadui nao mkubwa. Naye akaamua kutumia nguvu kuwadhibiti.
Operation ya pili ikawa ni kumwondoa duniani..... Hii ndo ilikuja kufanikiwa. Hayo ya kuambiwa alikufa kwa Covid 19 ni katika hali ya kuwa brainwash tu watu. Magufuli hakufa kwa Covid 19. Mimi sikuchoma Chanjo na nmezunguka na viongozi toka yeye na na hawa wengine. Nlitengeneza tu cheti fake kwa tsh 100,000 sijawahi umwa Covid 19 wala Covid 20.
Looser hapo ulitaka maanisha nini in english or swahili?Hayo unayo sema ni kweli.
Ndo maana tunasema the guy was not smart enough for the Job.
You need shap & fine knife to cut a piece of cake, sasa that lilikua panga lile au shoka kabisa ndo mlitaka likate keki? Mwishowe anaishia kuitawanya tuu.
Nauhakika alikua anasshauriwa kila step anayotaka kufanya na watu wa usalama, lkn anashupaza shingo kwa kuona wanampangia cha kufanya.
Jamani, Vijana hata ukipewa taasisi uiongoze kama kuna mabadiriko unafala kufanya na unajua yatagusa ugari wa watu be smart otherwise it will end in tears, na histolia itakuandika kama looser na wao wamewin
Marehemu alikuwa kiongozi shupavu sana. Alifanya mengi ndani ya muda mfupi. Ikiwa ni pamoja na kushughulika na sisi wa vyeti fake.
Mzee alikuwa na roho mbaya sana nikikumbuka alivyowatesa na kuwachomoa uhai vijana wa TISS Tena Kwa mambo ya Majungu Kwa kutumia vijana wake wa kisukuma namchukoa sanaWastaafu hivi.
Wastaafu vile.
Lakini hakuna hata jina moja la mstafu.
Wewe na yule alieandika kuwa "vyanzo vya kuaminika vya upinzani na serikalini" ni sawasawa.
Naona inatumika nguvu kubwa sana katika "kumsafisha na kumtakatifusha" mwenda zake kama ambavyo inatumika nguvu kubwa kuweka mambo "yanasosemwa" yalifanywa naye hadharani.
Kwa nini sasa!!??
Ukiwa msaliti watakuua tu.Mzee alikuwa na roho mbaya sana nikikumbuka alivyowatesa na kuwachomoa uhai vijana wa TISS Tena Kwa mambo ya Majungu Kwa kutumia vijana wake wa kisukuma namchukoa sana
Mwenzako nililipa 10000 tu na mpaka Sasa nadunda.Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu.