Genge la Mafisadi na Viongozi Wastaafu waliotumika kuchafua Utawala wa Magufuli

Kinachonipa moyo, wana mtandao wanatumia mbinu za miaka ya 90 kwenye zama za technology...

Ukitaka kuamini, nenda mitandaoni utaona uongo wao unavyoshughulikiwa...

Huenda watafanikiwa kuichafua character ya Magufuli ila itawachukua mda na huenda hapo katikati wakashitukiwa na wengi...

Haya mambo yote hayajitaji akili kubwa kujua hayatokei kwa bahati mbaya...

Sasa hivi naona wamemtumia Magufuli kuhamisha tension kwa Mbowe aliyekuwa anapumulia mashine...
 
Porojo tu.
 
Porojo tu.
Hakuna porojo...

Huu ndiyo ukweli...

Magufuli mnavyozidi kumchafua mnaishia kuchafuka naye...

Iko wapi credibility ya Kikwete, Makamba, Kinana na wenzao...

Wanaweza kusimama wapi kumpigia kampeni mtu na wakaeleweka?
 
Natafuta kiwanja msoga Bagamoyo, nataka kufuga kuku na mbuzi wa maziwa plz wenyeji wa huko mnisaidie
 
Unawalaani watu wa vyeti feki halafu wewe mwenyewe unakiri kuchonga cheti feki cha COVID.

Kama unaweza kuidanganya dunia kuwa una cheti cha COVID basi unaweza kutudanganya kwa hii makala uliyoiandika hapa.
 
Mleta Mada anazungumza habari za wauza Ngada, mmoja ya waliotajwa kuuza ngada ni Gwajima. Miaka minne baadae Magufuli Mwenyewe akamnadi Gwajima pale Kawe ili awe mbunge. "Nileteeeeeni Gwajima".

Vita ya Madawa ya kulevya ya Magufuli ilikuwa usanii tu. Ilikuwa ni populist measure isiyo na intention yoyote ya kumaliza hilo tatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…