Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #41
Upo makini and very smart. Madogo wengi miaka hii hawajui uandishi, hawajielewi. Hawajui maana ya alama katika uandishi, ni wepesi kichwani. So hawajaweza elewa why hilo neno nimeliweka kwenye hizo alama.Ukijua uandishi ni raha sana
Hebu soma tena kwa kituo umeona hilo neno snitch mwandishi alivyoliandika? Namna alivyoandika "snitch" kitafsiri (pengine tuite kimtazamo) hamaainishi huyo ni snitch ila waliomuua ndiyo wamemuona kuwa ni snitch kwa mtazamo wao. Hizi alama " " zina maana kubwa sana kwenye uandishi
Huko polisi alikokuwa anapeleka taarifa ndiko kulirejesha taarifa kwa wauaji.Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
View attachment 2923134
Umeamua kumtaja [emoji3][emoji3]Mimi kuna Kijana wa Kitanzania kutoka Mkoa wa Tanga nilimpa lifti kutoka Kigali alikuwa ametokea India kashukia Kanombe na Mabegi mawili makubwa kufika Singida tukaingia Bar akaniambia kuwa kazi zake ni za kuingiza Unga Astaghfurula! Toba! nikamwambia unataka KUNIFUNGA!?
Nikamwambia atafute usafiri mwingine akanipoza kwa Dola 300 halafu akatokomea gizani akamuacha hata yule Mwanamke aliyekuwa amemuandaa akalale nae[emoji16][emoji38]
Mimi ndio Imhotep nikiwaga Konyagi sipendagi upuuzi.
Ukishakuwa na akili ya "wanamuhujumu wanamuhujumu" huna sifa zaidi ya uchawaNi wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
View attachment 2923134
Ajihujumu mwenyewe kwa kukosa umakini wa wajibu wake.Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
View attachment 2923134
hali si nzuri sana ukianzia kwa waendesha bajaji,bodaboda na mafundi garageAisee
Inasikitisha sana yaanhali si nzuri sana ukianzia kwa waendesha bajaji,bodaboda na mafundi garage
Kitambo kimepita lakini ni bora angeniambia mapema ina maana angekamatwa pale Boda "Tungekamtwa" mimi Imhotep ningekuwa Mgeni wa nani?π«’π¬π«£Umeamua kumtaja [emoji3][emoji3]
Bange na Mirungi nayo ni Madawa?ππ unaweza kufananisha na Fentanly Tranq au Meth.moshi kwa sasa naona madawa na mihadarati imejaa hasa wala mirungi
Ukikubaliwa kuhujumiwa na kila kitu ukawa unahujumiwa ina maana umeshindwa kazi au huna uwezo wa hiyo kazi. Mtu mwenye uwezo hawezi kuhujumiwa kila wakati.Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
View attachment 2923134
moshi mjini kuna mchanganyiko wa makabila,wengine watumishi wa umma,sekta binafsi na wafanya biashara,hata huyu aliyeuwawa si mchagaaa,,sio kwa cile anaitwa hussein,no mchaga ata kama ni muislam lazima lifuate jina la ukoo,mathalan,hussein mushi au hussein kimario!!Duh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?πΌ