Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #41
Upo makini and very smart. Madogo wengi miaka hii hawajui uandishi, hawajielewi. Hawajui maana ya alama katika uandishi, ni wepesi kichwani. So hawajaweza elewa why hilo neno nimeliweka kwenye hizo alama.Ukijua uandishi ni raha sana
Hebu soma tena kwa kituo umeona hilo neno snitch mwandishi alivyoliandika? Namna alivyoandika "snitch" kitafsiri (pengine tuite kimtazamo) hamaainishi huyo ni snitch ila waliomuua ndiyo wamemuona kuwa ni snitch kwa mtazamo wao. Hizi alama " " zina maana kubwa sana kwenye uandishi