Genge la wauza madawa ya kulevya lamuua kikatili "Snitch" kutoa onyo kwa wengine huko Kilimanjaro

Genge la wauza madawa ya kulevya lamuua kikatili "Snitch" kutoa onyo kwa wengine huko Kilimanjaro

Ukijua uandishi ni raha sana
Hebu soma tena kwa kituo umeona hilo neno snitch mwandishi alivyoliandika? Namna alivyoandika "snitch" kitafsiri (pengine tuite kimtazamo) hamaainishi huyo ni snitch ila waliomuua ndiyo wamemuona kuwa ni snitch kwa mtazamo wao. Hizi alama " " zina maana kubwa sana kwenye uandishi
Upo makini and very smart. Madogo wengi miaka hii hawajui uandishi, hawajielewi. Hawajui maana ya alama katika uandishi, ni wepesi kichwani. So hawajaweza elewa why hilo neno nimeliweka kwenye hizo alama.
 
Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.

View attachment 2923134
Huko polisi alikokuwa anapeleka taarifa ndiko kulirejesha taarifa kwa wauaji.
 
Mimi kuna Kijana wa Kitanzania kutoka Mkoa wa Tanga nilimpa lifti kutoka Kigali alikuwa ametokea India kashukia Kanombe na Mabegi mawili makubwa kufika Singida tukaingia Bar akaniambia kuwa kazi zake ni za kuingiza Unga Astaghfurula! Toba! nikamwambia unataka KUNIFUNGA!?

Nikamwambia atafute usafiri mwingine akanipoza kwa Dola 300 halafu akatokomea gizani akamuacha hata yule Mwanamke aliyekuwa amemuandaa akalale nae[emoji16][emoji38]

Mimi ndio Imhotep nikiwaga Konyagi sipendagi upuuzi.
Umeamua kumtaja [emoji3][emoji3]
 
Umeamua kumtaja [emoji3][emoji3]
Kitambo kimepita lakini ni bora angeniambia mapema ina maana angekamatwa pale Boda "Tungekamtwa" mimi Imhotep ningekuwa Mgeni wa nani?🫢😬🫣

Mimi nauchukia sana Unga huu uitwao Afyuni Heroine kuna Vijana wadogo huko waliokondeana hadi Suruwali zinawadondoka inasemekana wanakula Unga huu.

Ni Hatari sana.
 
moshi kwa sasa naona madawa na mihadarati imejaa hasa wala mirungi
Bange na Mirungi nayo ni Madawa?😆😆 unaweza kufananisha na Fentanly Tranq au Meth.

Mwishowe mtasema hata Mbege ni Madawa ya kulevya.
 
Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.

View attachment 2923134
Ukikubaliwa kuhujumiwa na kila kitu ukawa unahujumiwa ina maana umeshindwa kazi au huna uwezo wa hiyo kazi. Mtu mwenye uwezo hawezi kuhujumiwa kila wakati.
 
Nilipokuwa primary kuna jamaa akaenda kuwapa taarifa polisi kuhusu wauzaji.... polisi hao hao, wakapewa pesa, wakamtaja jamaa.

Alipigwa vibaya sana... tena mchana kweupe na wanatamba kabisa kuwa iwe fundisho kwa wambeya wote
 
Amna no za hao wauza ngada .ajira amna afu kazi zenye pesa nazo wana snitch
 
Duh

Wachagga na Ngada wapi na wapi?🐼
moshi mjini kuna mchanganyiko wa makabila,wengine watumishi wa umma,sekta binafsi na wafanya biashara,hata huyu aliyeuwawa si mchagaaa,,sio kwa cile anaitwa hussein,no mchaga ata kama ni muislam lazima lifuate jina la ukoo,mathalan,hussein mushi au hussein kimario!!
 
Back
Top Bottom