Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025.
Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba 2 Prof. Palamagamba Kabudi, mchapa kazi asiyechoka William Lukuvi, mawaziri na wabunge kadhaa wenye ushawishi pamoja na baadhi wenyeviti wa mikoa wa CCM ambao hawakutajwa majina wakati wa mkutano wa Mh. Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM kuwa wamevalia mashati ya kijani lakini wana lao jambo kuelekea 2025 kudhoofisha utamaduni na mazowea ya kutokuwa na tamaa ya urais mpaka mwenzao amalize miaka 10 madarakani.
Historia toka China kuhusu mwenyekiti Mao Tze Tung mwanahistoria wa ujamaa na mapinduzi Prof. Palamagamba Kabudi labda siku moja atatoa somo kama kawaida yake kuhusu hili :

The Gang of Four (simplified Chinese: 四人帮; traditional Chinese: 四人幫; pinyin: Sì rén bāng) was a Maoist political faction composed of four Communist Party of China (CPC) officials. They came to prominence during the Cultural Revolution (1966–1976) and were later charged with a series of treasonous crimes