- Thread starter
-
- #21
Hatimaye ule msemo wa wale wahenga wetu kuwa ........ usiwatupe waweke karibu nawe ....
RAIS SAMIA: ''LUKUVI HATOGOMBEA USPIKA, KABUDI HAWA NI KAKA ZANGU NITAWAPA KAZI MAALUM IKULU''
“Keep your friends close and your enemies closer”
Hapa hawa wazee wawili wametiwa katika "jela ya wazi" ya kisiasa isiyo zungukwa na ukuta wa ngome au bwana-jela
- Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi
- William Vangimembe Lukuvi