ni kweli mkuu. Basi kwa nini sisi waafrika tunawapenda hao ngozi nyeupe? Tena tunawapapatikia na kuwaheshimu. Kwa nini sasa wanatudharau kwa sisi kuwanyenyekeaMpendwa rejea uzi wa INDIA !! ulikuwa na wenzio mkipayuka maneno ya Hasira na Povu jingi!!! SASA bado Mnawageukia wadhungu !!! YAANI baadhi ya waafrika kwanini hupenda kulia lia na kulaumu na kujidhalilisha ....hata threads na posts nyingi mnazopost ni KUONEWA !!! wakati adui wa Mwafirika ni MwaFirika mwenyeweeee...!!!
eeeh Mungu tusamehe na awasamehe....
Mkuu ukichunguza utaisoma vizuri !! (kuanzia ngazi za uongozi hadi maisha ya kitaani!!)
Mpendwa, Tujifunze kuwatafuta wazee wa zamani na kuwa tunakaa nao kuwasikiliza Hekima zao na busara wanayo yasema.. tuajifunza mambo yaa maana!! ila Kizazi cha sasa ni Fasta life !!ni kweli mkuu. Basi kwa nini sisi waafrika tunawapenda hao ngozi nyeupe? Tena tunawapapatikia na kuwaheshimu. Kwa nini sasa wanatudharau kwa sisi kuwanyenyekea
Yuko wapi siku hizi huyu kaka,maana niliishia kash kash na mkewe ikaweje...?Yeah wamemmaliza kabisa tena kupitia kwa mwanamke wao wa kizungu
Ishu ilimpa stress za kufamtu akashuka viwango na kesi ikaamuliwa wagawane mali pamoja na kumlipa mwanamke fidia kubwaYuko wapi siku hizi huyu kaka,maana niliishia kash kash na mkewe ikaweje...?
Ebwana wanaJF mzuka!
Ni tetesi tu wadau. Nimesikia sana na pia kushuhudia eti ukiwa Muafrika una uraia na akili sana ama Genious ulaya halafu una kiherehere wazungu hawapendi na wanaona wivu na lazima wakupunguzie kasi kwa kukufanya chizi.
Ila ni tetesi tu uhenda ni stress ama depression lakini lisemwalo lipo. Hizi bills za huku ni hatari. Yani bills ni kama jela na minyororo isionekana.
Je hizi tetesi ni za kweli? Nawakilisha.
Cc Benny @VictoireBorat69 Jimena Zamaulid Tokyo40 UncleBen mshana jr Kaboom King Kong III mrangi Kiranga Nyani Ngabu
Tiger WoodsKama yule mcheza Golf dah hadi jina limenitoka
hata mimi say zingine napinga na saa zingine kwa mbali nakubali. Ila mzungu ni hatari hasa akipata upinzani flan. Yeye anataka kuwa top kila sehem.
Mfano mdogo tu Angalia hata Obama licha lakulitoa taifa la marekan kwenye uchumi mbaya alioukuta na kuifanya Sasa hivi dola ina nguvu lakini hathubutu kumpa credit. Angalia wanavyomfanyia ghadafi. Je Iran na north korea wasingekuwa strong wangekua wapi Sasa hivi.
Fidel castro alishawahi kusema tunamiliki silaha za nyuklia siyo kuvamia au kuonea bali kujilinda kutoka kwenu
hapana mkuu ila nimewaza tu...maana hii kitu haiji mara moja!kwani unahisi una dalili zozote.
ahhh kusoma kitabuTafuta book moja ya Nick Turse, Tomorrow's Battlefield:Us proxy war and secret ops in Africa.
sasa leo tunabaguana wenyewe kwa wenyewe Waafrica,...
msouth anajiona bora kuliko mnigeria we unategemea wazungu watatuheshimu sisi,..
ila chunguzsa mzungu akikutana na mzungu mwenzie popote pale duniani
wanapendana na kujua kapata ndugu,...
leo watz wananyanyaswa na wasouth unategemea vnini hapo ndugu,....
sisi watz ni ndugu sisi kwa sisi tu,...
wazungu always wanatafuta kutukandamiza Africans tuwe vinferior all days
Naam, baada ya hapo kuna hiki kitabu cha Jack Essim, Eyes of sacrifice (The massacre of Africa).
mkuu tatizo ni kukosa uzalendo,...waafrika hatuna uzalendo na bara letuUpo sahihi Mkuu.
Waafrika hawana umoja. Viongozi wao wengi wanawakandamiza wananchi wao. Haki za binadamu haziheshimiwi. Wapinzani hawana sauti, wamebanwa koo.
Zaidi ya miaka 50 tangu wakoloni waondoke Afrika, raia wake hawawezi kuvuka mipaka waliochorewa na wakoloni, ili kuwatawala kirahisi, bila ya vizuizi. Lakini, Mkoloni akifika mpakani, anapita kirahisi.
Ndani ya EU, wana matatizo yao mengi lakini wanakaa na kujaribu kutatua bila ya kuharibu umoja wao. Wapolish wanadunda London kama kwao, Waromania wanaona kama wameshinda bahati nasibu ya maisha kukubaliwa kuwa mwanachama wa EU. Kuna nchi nje ya EU kama Switzerland na Norway, raia wao wanaruhusiwa kufanya kazi ndani ya EU. Wananchi wa Denmark wanafanya kazi Sweden, jioni wanarudi kwao Denmark.
Sasa, linganisha na mwendo wa kobe wa maendeleo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Viongozi wenyewe ni kina Nkurunziza, Museveni na Kagame. Wanahiari wananchi wao wafe kuliko kung'atuka.
Hapo AU, wameshindwa hata kujichangishia pesa za kujenga Makao Makuu yao, Ethiopia, mpaka China kawapa msaada.
Wanawatukana wakoloni kwenye mikutano yao halafu wanapanda ndege na familia yao kwenda kufanya shopping, kuomba misaada na kufanya matibabu ulaya.
Afrika tutasubiri sana maendeleo.
Wapi ndege ya malaysiahata mimi say zingine napinga na saa zingine kwa mbali nakubali. Ila mzungu ni hatari hasa akipata upinzani flan. Yeye anataka kuwa top kila sehem.
Mfano mdogo tu Angalia hata Obama licha lakulitoa taifa la marekan kwenye uchumi mbaya alioukuta na kuifanya Sasa hivi dola ina nguvu lakini hathubutu kumpa credit. Angalia wanavyomfanyia ghadafi. Je Iran na north korea wasingekuwa strong wangekua wapi Sasa hivi.
Fidel castro alishawahi kusema tunamiliki silaha za nyuklia siyo kuvamia au kuonea bali kujilinda kutoka kwenu