Tetesi: Genious wa kiafrika Ulaya hufanywa machizi kwa kuchomwa sindano wakibainika

Tetesi: Genious wa kiafrika Ulaya hufanywa machizi kwa kuchomwa sindano wakibainika

List ni ndefu unamkumbuka Mobutu Ssesesseko wa Zagamba?
Kuku ngwendu wazabanga hayo yote madhara ya vibaraka wa westerners baada ya kujulikana blood diamonds wamarekani wakawa uchi na kumtosa savimbi.Mobutu alikuwa na ikulu ikiitwa badolite kijijini kwake sio mchezo.
 
mkuu tatizo ni kukosa uzalendo,...waafrika hatuna uzalendo na bara letu
na hii imeshajengeka hadi vizazi vyetu vijavyo kuwa waafrika hatujiwezi,..
tamaa za madaraka kwa viongoz wa afrika ni kutokana na wizi wa rasilimali mkuu,..
mimi ntalala usingizi JPM akiwa rais,...j.kikwete
sasa huu siupuzi mkuu,.kwahiyo mtu anaamua2 kuwa hawaachii dola hadi rais awe mtu flani wa ccm,..
huu wizi ndo unawafanya wawe defensive sana mkuu,...
african leaders they are all the same wezi,.wote wezi2,...
yana tamaa na mali za wananchi kama wataishi milele
wakaTI MAJORITY WANAPATA DHIKI NA HADHA,viriba tumbo,njaa,wanakufa hovyo, wakati Mungu kawapa utajili sana tu waafrika,...mkuu haya mambo yanaumiza sana roho
kama umepata akili ya kutambua haya mambo
maana siwote wenye kuelewa haya
Yaah viongozi wetu wa africa wamesoma chuo kimoja na lecturer mmoja ndo maana unakuta nchi nyingi za africa matatizo yetu yanafanana kuna kitu kinaitwa ubinafsi nadhani viongozi wetu sio tu wabinafsi isipokuwa walafi sijui kama(greedy)linafika hapa wanajijali na wale wanao wazunguuka kile kitu keki ya taifa iliwe na wote ni msamiati mgumu kwao.
 
Ukikutana na mtu anawashobokea wazungu na kama mpo wawili tuu angalia kushoto kisha kulia kama hakuna anayekutazama mpe cha kati fasta
Sio mchezo kuna kitabu kinaitwa the hit man humo utajua ubazazi wa USA jinsi walivyokuwa wanawalaghai watu na kuingia nao mikataba ya kijuha all over the world.
 
Kiboko ya wazungu afrika kabaki mmoja tu...Comrade Bob Mugabe,wengine wote ni kulialia na kuombaomba tu
 
Unajua haya mambo yanatia mno hasira
Ni jambo la kujiuliza wapi walienda na kufanya jambo bila kuweka maslahi yao mbele?kumbuka 92 Somalia mambo yaliwashinda kipindi cha farah wakaiona mogadishu chungu wakaupaka.the hit men inazungzia walivyokuwa wanaingia mikataba hiyo hasa mambo ya hydro electric power utahisi hasira.
 
These white mutton...these white pigs
 
Ebwana wanaJF mzuka!

Ni tetesi tu wadau. Nimesikia sana na pia kushuhudia eti ukiwa Muafrika una uraia na akili sana ama Genious ulaya halafu una kiherehere wazungu hawapendi na wanaona wivu na lazima wakupunguzie kasi kwa kukufanya chizi.

Nasikia wanakulia timing unapokuwa mgonjwa na kwenda hospitalini hapo ndipo wanakukamatia kwa kukuchoma sindano ama kukupa dawa. Na sio eti unakuwa chizi wakati huo ghaflat bali Ni taratibu.

Kama Ni kweli inasikitisha sana kwasababu nimeshuhudia waafrika watatu wenye hali kama hii. Kuna huyu anaitwa Cisse mgambia mhandisi yupo hapa toka 1989 ana watoto na alidevorce. Sasa hivi anaishi from government social benefits support na kapewa studio apartment Nasikia jamaa ubongo wake ulikuwa unachaji sana.

Kuna mwengine mkenya anaitwa Ogola nasikia alikuwa computer wizard naye wamemput down kiaina ukimuona unabaki na simanzi. Kuna Aziz kutoka Darfur western Sudan aliingia hapa 1992 akitokea Lebanon nasikia alikuwa very bright mhandis yani ukimuona inasikitisha nao hao wote wanakula social benefits na kupewa apartments.

Ila ni tetesi tu uhenda ni stress ama depression lakini lisemwalo lipo. Hizi bills za huku ni hatari. Yani bills ni kama jela na minyororo isionekana.

Je hizi tetesi ni za kweli? Nawakilisha.

Cc Benny @VictoireBorat69 Jimena Zamaulid Tokyo40 UncleBen mshana jr Kaboom King Kong III mrangi Kiranga Nyani Ngabu
Hii kitu inawezekana kuwa na ukweli ndugu. Kuna mambo mengi sana yamekuwa yakiendelea chini ya kapeti. Waafrika wengi waliokuwa sehemu nyeti huwa wanakuwa na ulinzi na udumanzi wa hali ya juu. Kuna jamaa wako NASA..kuna watu wako NSA ..kuna watu wako sehemu nyeti lakini huwezi kupata taarifa zao kwenye mtandao.

So haya yote yanawezekana kabisa. Kuna mtu mmoja nilikutana nae Israel alizungumzia suala la NDUI mpaka nikasisimka na kuishiwa nguvu. Kama kuna watu humu wa miaka ya nyuma wanakumbuka zile buluga zilikuwa zinatoka US of A. Mambo mengi ni Twilight Zone.
 
Haya ni mambo ya psychopolitics aliyokuwa anayazungumza Beria wa KGB.
 
Hii kitu inawezekana kuwa na ukweli ndugu. Kuna mambo mengi sana yamekuwa yakiendelea chini ya kapeti. Waafrika wengi waliokuwa sehemu nyeti huwa wanakuwa na ulinzi na udumanzi wa hali ya juu. Kuna jamaa wako NASA..kuna watu wako NSA ..kuna watu wako sehemu nyeti lakini huwezi kupata taarifa zao kwenye mtandao.

So haya yote yanawezekana kabisa. Kuna mtu mmoja nilikutana nae Israel alizungumzia suala la NDUI mpaka nikasisimka na kuishiwa nguvu. Kama kuna watu humu wa miaka ya nyuma wanakumbuka zile buluga zilikuwa zinatoka US of A. Mambo mengi ni Twilight Zone.
Maziwa flan hivi duh umenikumbusha mbaliiiii.Huwa napata kigugumizi USA wana madeni kama mataifa mengine kuna watu wao huko huko wanaishi maisha ya shida hiyo guts ya kuja kutupa msaada huku wanatoa wapi kama sio maslahi mbele!
 
Siku zote A Whiteman needs to downsize the blackman every where and forever stay away from them
 
Strong ruler kweli ila hiyo avatar yako alikwenda na maji kijana bado mbichi alipachikwa nickname ya cheguivara wa afrika rafiki yake ndo alimuua na kutawala Burkina Faso.
Wee mjinga Una nn na umefanya nn mpaka Wakufanyie hzo down kill @ Strong Ruler.
 
Back
Top Bottom