babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
umeingia lini ulaya ndugu?maana mada zako zote ni negative tu,hujaridhika na maisha geuka tu kipawa inakungoja.ni kweli mkuu. Basi kwa nini sisi waafrika tunawapenda hao ngozi nyeupe? Tena tunawapapatikia na kuwaheshimu. Kwa nini sasa wanatudharau kwa sisi kuwanyenyekea
Humu Kuna watoto WA form six WA Jana walio na visimu vya Maboom Yan wanakera Sana washenzi Hasa you can find that it's just a serious topic but mtu analeta upuuzi wake .Kifupi strong ruler kaandika yeye mbona hawajamfanya kitu ndo nikamjibu yeye kweli ila huyo mtu kwenye avatar yake alimuua sasa kama wewe ndo strong ruler au unamuwakilisha nikutake radhi ndugu yangu nimefanya makosa ku quote comment yako na haitajirudia tena.
Nimekuelewa sana ndugu yangu but inabidi twende nao hivyo kumbuka huu msafara wa mamba kenge pia wapo ndo maana nikamjibu hivyo poa pamoja sana ndugu yangu.Humu Kuna watoto WA form six WA Jana walio na visimu vya Maboom Yan wanakera Sana washenzi Hasa you can find that it's just a serious topic but mtu analeta upuuzi wake .
naweza kukuamini kwa sababu mzungu kwa saikolojia ni hatari sana. Anaweza kukuwini kisaikolojia ukamuona mzuri ana upendo. Na bill Cosby hata akishinda kesi inabidi awe strong
Kweli kaka dunian kizuri hakidumu kama mleta mada anavyo sema hapo.Strong ruler kweli ila hiyo avatar yako alikwenda na maji kijana bado mbichi alipachikwa nickname ya cheguivara wa afrika rafiki yake ndo alimuua na kutawala Burkina Faso.
Yaah ila pamoja na kutokudumu kwa muda mchache waliokaa wamefanya mambo makubwa kuliko walioishi muda mrefu.Kweli kaka dunian kizuri hakidumu kama mleta mada anavyo sema hapo.
Nawe utaishia kufanywa chizi tu!Kama ni kwel inanibid umoja Wa nchi za kiafrica unidhamin niingie ulaya kudhibitisha haya madai kama ulaya inavyodhamin watu wao kuja huku Kasema kila ugonjwa mmbaya unaanzia.bara hili
Siku zako zinahesabika! Subiri siku wazungu waje kukunyang'anya watoto wote hapo kwako, kuwa umeshindwa kuwalea na mkeo nae awekwe mbali na wewe tuone kama huanzi kuokota makopo wee.Mimi mbona sijafanyiwa hayo madudu yenu?
Wabongo kwa kujifanya wajuajiHizo ni hisia tu na kutokujiamini.
Mi siamini katika hilo na kama ni kweli linafanyika basi kufanyika kwingine lakini sio Sverige
"walipunguza fyusi" nimecheka sana!Mamtu bright yenye asili ya Africa mengi ni kutokana na msuli. ...sasa wanasahau inabidi kumix na social life. ...go on tour Serengeti. ..and vacations ili kuondoa stress.
Mbona hao bright waliounguza fuse ni wengi tu hata hapa bongoland
Oh Dunia.Serious allegations hizi ...nijuavyo ni kwamba wanakufanyia brainwashing ya kufa mtu kisha ukishakaa sawa wanakutumia wakimaliza na wewe wanakudump au wakikuona huelekei wanaku frustrate kwa kila njia mwishowe unakuwa na stress za kufa mtu kisha unajimaliza mwenyewe
Yuko mmoja alitoka URUSI na alikuwa ni supergenius tena alishiriki kwenye masuala nyeti ya SPUTNIKSerious allegations hizi ...nijuavyo ni kwamba wanakufanyia brainwashing ya kufa mtu kisha ukishakaa sawa wanakutumia wakimaliza na wewe wanakudump au wakikuona huelekei wanaku frustrate kwa kila njia mwishowe unakuwa na stress za kufa mtu kisha unajimaliza mwenyewe
Yaaani [emoji134]Wabongo kwa kujifanya wajuaji
Kila kitu wanamshika uchawi Mzungu