Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
kwa lugha ya kiswahili inaitwaje hiyo ndugu mtoa hoja, kwa faida ya wadau?🐒Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
Havitoki vyenyewe kuna dawa za kupaka na wakati mwingine vinatolewa kwa operation. Vinasababishwa na HPV.hata hospital wanasema vinatoka vyenyewe, lakini kwa wengi huchukua muda sana kupotea,..
huu ni ugonjwa wa wazungu, waafrica wengi huwa wanaamini wazungu hawana ngoma na gono hivyo kuzini nao ni salama. kumbe kuna gonjwa la virusi linalotengeneza genital herpes, na ni ugonjwa usio na dawa.Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
ok,.🙏🙏Havitoki vyenyewe kuna dawa za kupaka na wakati mwingine vinatolewa kwa operation. Vinasababishwa na HPV.
Ni dawa gani umewahi kutumia ikashindikana mkuu?Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
Hakika jamaa amewasilisha vyema.Gentleman!
aise umepiga shule na darasa la maana na muhimu ajabu , kudradradreki?
uko wapi wewe dah? hii funga mwaka 2024 ya kipekee sana..
Naona Baraka na Neema za Mungu zikiambatana na kuandamana nawe katika kazi na majukumu yako ya kusaidia wengine bure kwa maarifa uliyonayo.
Mungu akubariki sana gentleman Twilumba 👊 💪 🌹
mie naamini ni yeye gentleman,Hakika jamaa amewakilisha vyema.
Ila hayo majibu yamekaa ki-AI hivi.
Kama ni akili yake basi nami ninaungana na wewe kumpa maua yake,.
Lakini endapo sio zake basi atoe credit kunakohusika.
Nunua box la dawa za aciclovir 200mg...ukipata dalili za tatizo piga dozi yako ya kutwa mara 3 kwa siku 5 basi hautapata usumbufu tena.Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
Asante, ndugu yangu nishaenda hosptal kila specialist wa magonjwa ya ngozi nae kutana nae anachonambia ni kwamba uo ugonjwa auna tiba, other wise ni kumeza dawa ndani ya miezi 6 then itapote lakini nimefanya hivyo ila bado vinajirudi, na wanasema vinaingia kwenye damu kabisa(virus). Kwahiyo nikaona nijaribu kutuma umu labda kuna mtu ana uzoefu navyo aliwakupata na akapona na mimi anipe mbinuPole sana.
Nenda hospitalini ukaonane na daktari ili upatiwe dawa sahihi.
Kila la kheri.