Genital herpes

Genital herpes

Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
huu ni ugonjwa wa wazungu, waafrica wengi huwa wanaamini wazungu hawana ngoma na gono hivyo kuzini nao ni salama. kumbe kuna gonjwa la virusi linalotengeneza genital herpes, na ni ugonjwa usio na dawa.

kuna lingine linaitwa genital warts, hilo linaota vinyama sehemu za siri zinafunika kabisa kama mwanamke na kama mwanaume unaota viotea kwenye uume hadi ukome, ukibahatika sana surgical operation inaweza fanyika, ama la, utakuwa na manyamanyama yamerundikana eneo hilo hadi uume au uke hauonekani.
 
Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
Ni dawa gani umewahi kutumia ikashindikana mkuu?
 
Caustic pencil ndo hutumiwa sana japo sio effective 100 huwa herpes zinarudi baada ya muda like other viral infections hazina dawa exactly
 
Gentleman!
aise umepiga shule na darasa la maana na muhimu ajabu , kudradradreki?

uko wapi wewe dah? hii funga mwaka 2024 ya kipekee sana..

Naona Baraka na Neema za Mungu zikiambatana na kuandamana nawe katika kazi na majukumu yako ya kusaidia wengine bure kwa maarifa uliyonayo.

Mungu akubariki sana gentleman Twilumba 👊 💪 🌹
Hakika jamaa amewasilisha vyema.
Ila hayo majibu yamekaa ki-AI hivi.

Kama ni akili yake basi nami ninaungana na wewe kumpa maua yake,.
Lakini endapo sio zake basi atoe credit kunakohusika.
 
Hakika jamaa amewakilisha vyema.
Ila hayo majibu yamekaa ki-AI hivi.

Kama ni akili yake basi nami ninaungana na wewe kumpa maua yake,.
Lakini endapo sio zake basi atoe credit kunakohusika.
mie naamini ni yeye gentleman,

kweli akopy na kupaste mpaka nukta, paragraph na space?

yafaa muungwana apewe maua yake kwakweli 🌹

Lakini zaidi sana,
Baraka na neema za Mungu ziambatane na kuambatana nae, katika kazi na majukumu yake haya mazito na muhimu sana daima na milele 🙏
 
Umezembea kwa kweli. Vinapona na sio kupona vyenyewe anaye kwa mbia hivyo Kuna maala elimu na maarifa yake yameishia hapo. Ukipata doctor (MD) mzuri anaweza kukupa dawa na ukapona. Pia ukipata Healing Doctor ( herbalist) anaweza kukupa dawa na ukapona within a month. Nimewahi shuhudia watu wengi wakipona ugonjwa huo na unao endana na huo inategemea na kiwango Cha athari wakipona kwakuwapa dawa mwenyewe na wakaendelea na maisha yao kama kawaida. Unawezafanya maamuzi ya wapi unataka hupate tiba. Usikubali kuishi na hili tatizo ndugu wikikua litakuletea madhara zaidi sio tu eneo la uzazi ila mdomoni, ngozi kwa ujumla na organs nyingine zinaweza athirika.
 
Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
Nunua box la dawa za aciclovir 200mg...ukipata dalili za tatizo piga dozi yako ya kutwa mara 3 kwa siku 5 basi hautapata usumbufu tena.
 
Pole sana.
Nenda hospitalini ukaonane na daktari ili upatiwe dawa sahihi.
Kila la kheri.
Asante, ndugu yangu nishaenda hosptal kila specialist wa magonjwa ya ngozi nae kutana nae anachonambia ni kwamba uo ugonjwa auna tiba, other wise ni kumeza dawa ndani ya miezi 6 then itapote lakini nimefanya hivyo ila bado vinajirudi, na wanasema vinaingia kwenye damu kabisa(virus). Kwahiyo nikaona nijaribu kutuma umu labda kuna mtu ana uzoefu navyo aliwakupata na akapona na mimi anipe mbinu
 
Back
Top Bottom