Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

Hata yeye alikuwa mwizi tu,kama huyu,wapo watu waliumia,makampuni yalifungwa,watu walibambikiwa kesi Ili wanunue uhuru wao,
Hilo la watu kubabikiawa kesi na kununua uhuru wao lilikuwa na bandwidth
Kuna kanda haikuguswa kabisa na hizo mishe , ndo hao wanamlilia kila siku.
 
Binafsi Naona kilichoongezwa kinatosha, na serikali ya awamu ya sita inajitahidi, mambo mazuri yanakuja, tusimtukane mpishi kabla jua jalijafika machweo, mama atafanya makubwa hamtaamini.

Mama kapandisha madaraja na nyongeza juu lakini bado tunamuona mbaya,binadamu Ni watu wabaya sana hata uwapikie moyo wako wale bado watadai chumvi imepelea.
 
Kwa ufahamu wangu, JPM hakufanikiwa kabisa kumanage inflation, zaidi sana vitu kama sukari, mafuta ya kula n.k vilipanda bei mapema sana ktk uongozi wake na havikuwahi kushuka bei. Kwa maoni yangu, JPM alikuwa tu na uthubutu lkn kusimamia uchumi vizuri hata kwake ilikuwa shida. JK ndio ambaye aliweza sana kisimamia uchumi
 
Tatizo mama anampiga vijembe mtanguliza wake kila kukicha, wakati JPM ndiye aliyemtoa huko uswekeni. Kama vile Nape na Makamba wanavyo mnanga JPM.
 
Huyu aliyeacha nchi haina hata shilingi, wafanyakazi hoi,wakulima hoi na wafanyabiashala hoi kabisa U'Genius kaupataje na kutoka wapi!!?
 
JPM asifiwe ujenzi na ndege.
Jk asifiwe diplomasia na maslahi bora kwa watumishi wake
Mkapa asifiwe miundombinu ya uchumi
Nyerere asifiwe uhuru na kuiunganisha TZ
Mwinyi asifiwe kututoa kwenye pure ujamaa.
 
Mshapata la kusema sasa,kama ni hivyo basi jk ndiyo genius kuzidi wote coz aliongeza miaka yote 10 na bei ya bidhaa ilikuwa cheap
 
Mwaka mmoja wa uongozi hakuna cha maana zaidi ya kuzurura nje ya nchi na kuomba mikopo ya kujenga vyoo. Nani kama mama na bado
 
Ila maza kachemka Sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mba mba mba nyingiii ,buree kabisaaa

Nimeamua rasmi kua mjasiriamali ,utumishi nawaachia wao wanaolipana maposho mpk ya mahawara zao
Na matoto yakifeli wasitulaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…