Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Kivpi mkuuMichezo iingizwe rasmi kwenye max za mtihani wa necta
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivpi mkuuMichezo iingizwe rasmi kwenye max za mtihani wa necta
Ili iwejeWatafute waganga Toka congo au Nigeria
Mbongo bila ndumba hawezi maisha
Ila kuna watu watakwambia Karia hafai na ndiye karudisha nyuma mpira wa Tanzania utafikiri Tenga na yule mhujumu uchumi wa Bukoba waliwahi kuchukuwa ubingwa wa AFCONYaah nikweli ... kipindi hiki Cha karia kajutahidi sana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwenye kuhesabu point na somo la sports lihesabiwe ..mfano ukipata sport A inaingia kwenye division
Kama suala ni kuionea huruma Simba, hilo si kweli. CAS ni mahakama ya soka duniani, haiangalii mtu usoni.Hivi hujui Kesi ya Morison ilimalizwa fairy....coz Simba mngepokonywa point zote
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukiamini hivyo hautatoboa maishaMbongo bila ndumba hawezi maisha
Wa TZ ni wazalendoHiyo namba 10 kutakuwa na utakatishaji wa fedha mwingi sana
Awapi ...hata viwanja kipindi hiki Cha karia... kajitahidi kuvilekebishaIla kuna watu watakwambia Karia hafai na ndiye karudisha nyuma mpira wa Tanzania utafikiri Tenga na yule mhujumu uchumi wa Bukoba waliwahi kuchukuwa ubingwa wa AFCON
TFF waliomba yaisheKama suala ni kuionea huruma Simba, hilo si kweli. CAS ni mahakama ya soka duniani, haiangalii mtu usoni.
Sio Mimi wabongo
Michezo irudishwe mashuleni
Alikuwepo mzushi ndolangaIla kuna watu watakwambia Karia hafai na ndiye karudisha nyuma mpira wa Tanzania utafikiri Tenga na yule mhujumu uchumi wa Bukoba waliwahi kuchukuwa ubingwa wa AFCON
Usiseme hivyo mkuuNchi hii tunacho weza sisi nadhani ni kushindwa kila kitu
Hii kabisa mkuu....hata wale watoro siku za michezo walihudhuriaMichezo irudishwe mashuleni
Kama miaka ya zamani maumiseta nk
Enzi hizo mechi za mashule zilikuwa zinaleta hamasa na kugundua vipaji
Huko
Ova
Wewe uliyeleta hii mada kuwa makini ,kwanini umeandika KUFUDHU badala ya KUFUZU? Uko serious kweli! Unataka watu waseme wakili msomi kakosea?Simon Patrick (Mwanasheria wa klabu ya Yanga SC)
Hongereni sana @taifastars_ , binafsi siwadai, matokeo haya ndio kipimo chetu cha uwekezaji wetu kwenye soka.
Kwa maslahi mapana ya Taifa, nipende kushauri yafuatayo;
1. Tuziunganishe TFF & ZFF na tuwe na ligi moja bora yenye timu kutoka bara na Zanzibar.
2. Serikali itoe ruzuku kwa timu za vijana kama inavyofanya kwa vyama vya siasa.
3. Serikali ifute kodi na michango isiyo na tija kwa timu za mpira mfano NSSF, WCF, SDL, etc haina tija kwa wachezaji bali huongeza mzigo kwa vilabu, ianzishe kodi maalam ya zuio (WHT) kwa ajili ya wachezaji.
4. Hela zetu za FIFA za maendeleo ya mpira wa miguu zielekezwe kwenye kurekebisha miundombinu ya viwanja hasahasa sehemu ya kuchezea (pitch) ili ligi iwe na ubora zaidi.
5. TFF ianzishe mashindano ya vijana ya kitaifa nje na vilabu na yafanyike kila mwaka sambamba na kurudisha mashindano ya mashuleni.
6. Serikali ianzishe scholarship maalum kwa wanafunzi wote wenye vipaji na kuwataftia akademi nje.
7. Kwakuwa AFCON ya 2027 tunaandaa wenyewe hivo hatutakua na presha ya kufudhu, tuandae timu ya taifa kuanzia leo.
Je ni ushauri Gani unaona ni konk??
#daimambelenyumamwikoView attachment 2883098
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kalia ni mtawala wa kiimla kama Hitler na Mussolini.FIFA inapotoa ruzuku huwa inazingatia kuwapo kwa mchezo wa soka wa makundi yote, kama vile wanaume, wanawake, walemavu, vijana na ufukweni. Ndio maana nikasema utawala wa Karia umefanikiwa kuliko tawala zote maana kila kundi hapo limefika hatua nzuri. Hao walemavu ndio wamefuzu hadi fainali za kombe la dunia, jambo ambalo halikuwahi kutokea