Genius: Ushauri wa simoni Patrick Ili kukuza soka la Tanzania

Ila kuna watu watakwambia Karia hafai na ndiye karudisha nyuma mpira wa Tanzania utafikiri Tenga na yule mhujumu uchumi wa Bukoba waliwahi kuchukuwa ubingwa wa AFCON
Awapi ...hata viwanja kipindi hiki Cha karia... kajitahidi kuvilekebisha

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nchi hii tunacho weza sisi nadhani ni kushindwa kila kitu
 
Ila kuna watu watakwambia Karia hafai na ndiye karudisha nyuma mpira wa Tanzania utafikiri Tenga na yule mhujumu uchumi wa Bukoba waliwahi kuchukuwa ubingwa wa AFCON
Alikuwepo mzushi ndolanga
Kasumbua Sana alipokuwa kiongozi
Huyu ofisi ya mpira alihamishia nyumabn kwake kabisa

Ova
 
Michezo irudishwe mashuleni
Kama miaka ya zamani maumiseta nk
Enzi hizo mechi za mashule zilikuwa zinaleta hamasa na kugundua vipaji
Huko

Ova
Hii kabisa mkuu....hata wale watoro siku za michezo walihudhuria

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wewe uliyeleta hii mada kuwa makini ,kwanini umeandika KUFUDHU badala ya KUFUZU? Uko serious kweli! Unataka watu waseme wakili msomi kakosea?
 
Kalia ni mtawala wa kiimla kama Hitler na Mussolini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…