Genius: Ushauri wa simoni Patrick Ili kukuza soka la Tanzania

Genius: Ushauri wa simoni Patrick Ili kukuza soka la Tanzania

Tatua matatizo ya uchumi na elimu, mengine yatakaa sawa.

Ukiwa na uchumi mzuri, elimu nzuri, hayo matatizo yataondoka tu.

Bila ya kutatua hayo, hata hizo ruzuku za serikali utazipatia wapi?
 
Back
Top Bottom