[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Secondary...!!
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine
Naweza sema mfumo wa serikali ndo umefanya hii kazi idharaulike kwa watu wengi
Hakuna kazi ngumu kama kudeal na binadamu
Tatizo ni system tu!hamna cha zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji6] [emoji6] [emoji6] geologist !!
Hapana sijafanikiwa!nakujibu kabisa,my ex hubby alitaka mwl ikabd nifanye Education kwa ajili yake even though we r no longer together I don't regret to become teacher maana naamini huu ni mpango wa Mungu so I can't change destiny
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani alikufa akaoza haswaaa!!Tchaaaaa
Haya mahaba nikanyagekanyage nichinjechinje
Shost ulifall haswa
Teh huo ni zaidi ya moyo wa kupondeka. Tena anaota ndoto pamoja na mumeweYaani alikufa akaoza haswaaa!!
Sisi hatuna posho ht moja ila salaries ukichunguza zinafananaVipi maslahi wengi walimu wanalalamika kipato kidogo
Wewe unakabiliana vipi Na mshahara mdogo
DJ sepetu
Hata "alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe" huwa inatumiwa vibaya, watu hutuyaelewi maandiko vyema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh huo ni zaidi ya moyo wa kupondeka. Tena anaota ndoto pamoja na mumewe
Daah nyota ya Trump hiiiHaha binamu ana nyota ya mashela jamani
MBITIYAZA olewa tenaDaah nyota ya Trump hiii
Sasa alimuoa wa nini hata amfanyie vituko hivyo!!!Umenena vizuri sana mkuu. Utakuta kwenye ndoa mtu analeta vituko vya makusudi kisa tayari yupo kwenye kifungo cha ndoa. Kuna jamaa yangu anampa mateso makali sana mke na kumwona kama takataka vile. Hii sio sawa
Ukiwa kama mwalimu unawachukuliaje walimu Wa kiume wanaotembea Na wanafunziSisi hatuna posho ht moja ila salaries ukichunguza zinafanana
Bado narudi tatizo ni system tu!
Kamshahara kangu napambana nako hvyo hvyo na kukopa pia hakukosekaniki siku moja moja[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
kanaumiza sana !kanakera mno ! mm sitak mahubiri ya aina hii kwa maisha yangu na wanangu!
Teh huo ni zaidi ya moyo wa kupondeka. Tena anaota ndoto pamoja na mumewe
Sasa alimuoa wa nini hata amfanyie vituko hivyo!!!
Na jinsi ulivyo Mkatoliki kama hujaolewa uwe makini sana na shemeji utakaye amua kufunga naye pingu za maisha. Mimi mkatoliki najua jinsi ndoa zetu zilivyo mkataba hadi kifo
Hahaa kumbe sisi tunatania kabisa aisee. Ila naamini unaweza kumpenda mtu haswaaa ila tu usimpende kuliko unavyojipenda mwenyewe (dont forget to love yourself). Kuna watu "wanapendeka" jamani so unajikuta tu unapondeka, you can't resist loving them. Ila don't lose your sense and self worth in the name of loving someone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nikionaga haya mambo basi naonaga sijawahi kupenda kabisa!!
Haha acha tu madameDaah nyota ya Trump hiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nikionaga haya mambo basi naonaga sijawahi kupenda kabisa!!
Wamekosa utashi wale ni km wanetu au wadogo zetu kitendo cha kumla nyama ni kibaya sanaUkiwa kama mwalimu unawachukuliaje walimu Wa kiume wanaotembea Na wanafunzi
Je ishatokea shuleni kwako
DJ sepetu
Mbiti acha ujeuri, oteni pamoja shaurilowe heaven nimeanza kucheka upyyaa dah !hahaha ule uzi niibebehswa zigo balaa hahahha ! jaman maajabu hayataisha dunia hii ! nadhan bora kuota ndoto pamoja na mzungu sijui !yaan hapana! OTA NIOTE tukutane kwenye uhalisia wa jambo!