Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Tchaaaaa

Haya mahaba nikanyagekanyage nichinjechinje

Shost ulifall haswa
[emoji6] [emoji6] [emoji6] geologist !!
Hapana sijafanikiwa!nakujibu kabisa,my ex hubby alitaka mwl ikabd nifanye Education kwa ajili yake even though we r no longer together I don't regret to become teacher maana naamini huu ni mpango wa Mungu so I can't change destiny

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi maslahi wengi walimu wanalalamika kipato kidogo
Wewe unakabiliana vipi Na mshahara mdogo

DJ sepetu
Sisi hatuna posho ht moja ila salaries ukichunguza zinafanana
Bado narudi tatizo ni system tu!
Kamshahara kangu napambana nako hvyo hvyo na kukopa pia hakukosekaniki siku moja moja[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata "alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe" huwa inatumiwa vibaya, watu hutuyaelewi maandiko vyema.

Umenena vizuri sana mkuu. Utakuta kwenye ndoa mtu analeta vituko vya makusudi kisa tayari yupo kwenye kifungo cha ndoa. Kuna jamaa yangu anampa mateso makali sana mke na kumwona kama takataka vile. Hii sio sawa
 
Sasa alimuoa wa nini hata amfanyie vituko hivyo!!!
 
Sisi hatuna posho ht moja ila salaries ukichunguza zinafanana
Bado narudi tatizo ni system tu!
Kamshahara kangu napambana nako hvyo hvyo na kukopa pia hakukosekaniki siku moja moja[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa kama mwalimu unawachukuliaje walimu Wa kiume wanaotembea Na wanafunzi
Je ishatokea shuleni kwako

DJ sepetu
 
Teh huo ni zaidi ya moyo wa kupondeka. Tena anaota ndoto pamoja na mumewe

we heaven nimeanza kucheka upyyaa dah !hahaha ule uzi niibebehswa zigo balaa hahahha ! jaman maajabu hayataisha dunia hii ! nadhan bora kuota ndoto pamoja na mzungu sijui !yaan hapana! OTA NIOTE tukutane kwenye uhalisia wa jambo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nikionaga haya mambo basi naonaga sijawahi kupenda kabisa!!
Hahaa kumbe sisi tunatania kabisa aisee. Ila naamini unaweza kumpenda mtu haswaaa ila tu usimpende kuliko unavyojipenda mwenyewe (dont forget to love yourself). Kuna watu "wanapendeka" jamani so unajikuta tu unapondeka, you can't resist loving them. Ila don't lose your sense and self worth in the name of loving someone
 
Ukiwa kama mwalimu unawachukuliaje walimu Wa kiume wanaotembea Na wanafunzi
Je ishatokea shuleni kwako

DJ sepetu
Wamekosa utashi wale ni km wanetu au wadogo zetu kitendo cha kumla nyama ni kibaya sana

Shuleni kwangu ilishatokea sana tu ila niliongea na kushtaki kwa mkuu wa shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom