Geniveros interview on muosha rungu live show!

Wanaume 99%ni wachepukaji
Kuna mwingine anachepuka ila hata kuhis tu hauhis na ukiambiwa huamini ila kuna wengine ndo hao mpk ndani kwako hyo inaumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi binamu nimeambulia presha nzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume 99%ni wachepukaji
Kuna mwingine anachepuka ila hata kuhis tu hauhis na ukiambiwa huamini ila kuna wengine ndo hao mpk ndani kwako hyo inaumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee basi me wangu yupo kwenye hiyo 1%. Usinikumbushe mama Mchungaji divine, amesema tukatae kuwa na ndoa za kigroup. Amini your man is a different and special case na itakuwa sawasawa na imani yako. Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. .....
 
kwa maisha hayo ya kuniambia kweupe sikutak sidhan km moyo utakuuma ! ulijitambua mapemaaa!
mie sitakufa kihoro !llabda nife kwa mengineyo!\
hapana bado ni wa thamani sana ! kila la heri kwenye ndoa mpya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kufa hufi cha moto unakiona vzr tu
Kupenda ni ugonjwa mbaya sana my dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha ipogolo hili swali naona unaliuliza mara ya 3 sijui.
Ni kweli Heaven. Mume mtarajiwa hana mke.Bado Geni ni 30 yrs. Watoto 2. Mume mpya atahitaji watoto.
Amejipangaje kuhandle situation hiyo?
Mzazi mwenxiye akitaka kuwaona wanawe atamwambiaje mume mpya?
 
Geni ! Kwa shida na raha. Alichokiunganisha Mungu nyie mmevunja ahadi.
Ungevumilia yangeisha. Hata huko uendako kuna karaha zake.
Not me!him I fought for my marriage day and night u don't know I was going through binti mdogo at the age of 27 nakumbana na changamoto kubwaa za kindoa I wish my mom would be there may be tungesurvive!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…