Na kwenye kiapo tunaapa kua waaminifu!!sasa failure to do so ni tatizoMmmh wewe si ndo unasema Unachepuka kwa heshima? Ukija kuachwa ndo uje utuletee vifungu "alichokiunganisha Mungu". Mungu alikwambia nyie wawili mtakuwa mwili mmoja au aliwaambia nyie wawili na wengine mtakaowaleta mtakuwa mwili na nusu? Huyu ameondoka tu physically, the day her husband slept with another woman ndo officially ndoa yao ilivunjika spiritually. Kinachowaunganisha mke na mume ni kukaa nyumba moja au? Lile agano lenu mbele ya Mungu na wanadamu ndo mlihehimu, kama utashindwa kuliheshimu then hakuna ndoa hapo, ni roommates tu mnaishi
Kuchepuka kwa mwendo kasiUnachepuka huku unaheshimu ndoa!!!!
Maajabu ya dunia huwa hayaniachi salama.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ya kinzinziiHaha mwenzangu maana kila nikiangalia maana ya heshima, ni tofauti na hiyo ya kwenu. Hiyo tafsiri yake ndo ipo kwenye dictionary ipi?
[emoji87] [emoji87]geniveros Eti Kweli Wewe Ni muosha rungu Kwenye Bwawa Lenye Tope?
Mi yangu machoKaribu sana geni Na pole kwa safari Na shughuli za ujenzi Wa taifa letu
DJ sepetu
Watoto wawili wengine ntaongezaJiandae kupata watoto wengine si chini ya Wawili huko uendako.
Una mtihani sana kuliko unavyodhani.
Baba wa awali akitaka watoto wake utafanyaje? Mungu akusaidie sana.
Wanaume wepi?Na nyie mnacheat kama hamna akili nzuri nowadays ingawa wanaume tumetulizana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kabisa, tena ikiwezekana watu wakaage tu na open relationships. Maana kusumbua tu Wachungaji kufungisha ndoa huku mtu anajua kabisa ataishi na wanawake 10
Walaaa...basi tu si unajua member ukimzoea. Atakuwa kabadili ID anatuchora...na wewe unajua ID yake mpya.
Mume mpya awe muelewa sana na mungu awajalie wote.Watoto wawili wengine ntaongeza
Atawachukua wakiwa wakubwa kwa sasa hana direction!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume ndoa ni kuwa na pambo ndani au maid wakeMaana ya ndoa hatujaielewa bado, Mungu atusaidie tu kwakweli.
Mahubiri ya kumkandamiza mwanamke na kujiona inferiorkanaumiza sana !kanakera mno ! mm sitak mahubiri ya aina hii kwa maisha yangu na wanangu!
Achaa tu best my first love,first husband what a lucky! Nilikua najidaiii acha tu kimimba katangaza ndoa weeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utaniambia nn!!Tchaaaaa
Haya mahaba nikanyagekanyage nichinjechinje
Shost ulifall haswa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Teh huo ni zaidi ya moyo wa kupondeka. Tena anaota ndoto pamoja na mumewe
Yaani alikufa akaoza haswaaa!!
Pole yake huyo dada !!!Umenena vizuri sana mkuu. Utakuta kwenye ndoa mtu analeta vituko vya makusudi kisa tayari yupo kwenye kifungo cha ndoa. Kuna jamaa yangu anampa mateso makali sana mke na kumwona kama takataka vile. Hii sio sawa
Duh 99% juu sana....hapo nimebaki mimi tu!Wanaume 99%ni wachepukaji
Kuna mwingine anachepuka ila hata kuhis tu hauhis na ukiambiwa huamini ila kuna wengine ndo hao mpk ndani kwako hyo inaumiza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kufanya hivyo binamiu[emoji6] [emoji6] [emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nikionaga haya mambo basi naonaga sijawahi kupenda kabisa!!
Sitalisemea hili ila sio kweliNa jinsi ulivyo Mkatoliki kama hujaolewa uwe makini sana na shemeji utakaye amua kufunga naye pingu za maisha. Mimi mkatoliki najua jinsi ndoa zetu zilivyo mkataba hadi kifo
[emoji6] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji1] [emoji6] [emoji6]we heaven nimeanza kucheka upyyaa dah !hahaha ule uzi niibebehswa zigo balaa hahahha ! jaman maajabu hayataisha dunia hii ! nadhan bora kuota ndoto pamoja na mzungu sijui !yaan hapana! OTA NIOTE tukutane kwenye uhalisia wa jambo!