Fact binamu ila wengine hatuweziHahaa kumbe sisi tunatania kabisa aisee. Ila naamini unaweza kumpenda mtu haswaaa ila tu usimpende kuliko unavyojipenda mwenyewe (dont forget to love yourself). Kuna watu "wanapendeka" jamani so unajikuta tu unapondeka, you can't resist loving them. Ila don't lose your sense and self worth in the name of loving someone
Ahsante kwa kupitia hii kitumimi nimeishi maisha ya kumpenda mtu kuliko mimi mwenyewe ! hivi sijui nililogwa !mara nyingi nakuwa najiuliza naishia kukasirika tu !ingawa wanadai upendo hahuhesabu mabaya/mema hapana jaman !
hii roho ya kupenda kisukuma namna hii iishie kwangu jaman !kabisa jaman !sitak mm !
[emoji6] [emoji6] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] ndotooooHahahaaaaa!!
Haya mambo bwana khaaah!! Usiombe kukutwa na bwana ndoto.
[emoji106]Wanangu nawafanya marafiki zangu
Nawapa Uhuru ila wasivuke mipaka
Wamjue Mungu na wamuogope pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Second chance,third chance mpk kumi!am telling uKwa mfano umeolewa mume wako aka-cheat mara moja ukagundua. Ndio basi ndoa imevunjika au utampa second chance!
Does he value ur love?Hahahaaaa!! Kupenda sio tatizo, tatizo ni umempenda nani?
Anapenda ukubwaaaAuntie ni ninii kujizeesha na wakati we kibinti ebu tuache sie vibibi gagula
We ni CHADEMA AU CCM?
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tumekutana darrrrrrBinamu me sijaridhika ujue, eti mlikutana wapi? [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wambea hawaaa balaaa!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]We na auntie yangu mmenishinda [emoji23] si mlisema mmehisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuonaG hizo ni lips zako?
Nimeshazinyonya sana bafuni..
Aache dharau apambane na hali yake hata hamissa kasalitiwa na majizzo yuko na luluThat is y am team zari. Nae kapitia magumu basi tu watu wanamchukia ovyo na kushangilia akisalitiwa
Mengine ngoja nisiseme ila kuna wanaume majeuri sanaOMG...pole sana dada. Nakupongeza kwa kuamua enough is enough. Mtu huwezi kuishi kwa mateso kisa ndoa. Kuna mambo hayavumiliki.
Sikuenda nimefumania ndani kwangu chumbani kwangu natoka kazini!!dearrr[emoji1] [emoji1] [emoji1] usiombeeHahahha 30yrs una low bp kisa ulifumania ? binafsi huwa naamini mwanamke anaeenda kufumania ana SHIDA SEHEM! am sorry to say ths! yaan ni kutojiamini !binafs sitafanya kitu km hiki ! pole sana mamy! endelea kujitambua na kujithamini kila kitu kitakuwa controlled na ubongo wako!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ahsante sanaNimekusoma mwanzo mwisho geniveros umejibu vizuri sana. Una kila sababu ya kuheshimiwa na wengi humu. Bandiko lako #86 lilifanya nitabasamu. Unajitambua na kila la heri kwenye maandalizi ya kuingia chuo kipya. Nasubiri mualiko wa kuja kula ubwabwa na kucheza rumba.