Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Hahaa kumbe sisi tunatania kabisa aisee. Ila naamini unaweza kumpenda mtu haswaaa ila tu usimpende kuliko unavyojipenda mwenyewe (dont forget to love yourself). Kuna watu "wanapendeka" jamani so unajikuta tu unapondeka, you can't resist loving them. Ila don't lose your sense and self worth in the name of loving someone
Fact binamu ila wengine hatuwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nimeishi maisha ya kumpenda mtu kuliko mimi mwenyewe ! hivi sijui nililogwa !mara nyingi nakuwa najiuliza naishia kukasirika tu !ingawa wanadai upendo hahuhesabu mabaya/mema hapana jaman !

hii roho ya kupenda kisukuma namna hii iishie kwangu jaman !kabisa jaman !sitak mm !
Ahsante kwa kupitia hii kitu
Sitamani wanangu waje kua km mim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahha 30yrs una low bp kisa ulifumania ? binafsi huwa naamini mwanamke anaeenda kufumania ana SHIDA SEHEM! am sorry to say ths! yaan ni kutojiamini !binafs sitafanya kitu km hiki ! pole sana mamy! endelea kujitambua na kujithamini kila kitu kitakuwa controlled na ubongo wako!
Sikuenda nimefumania ndani kwangu chumbani kwangu natoka kazini!!dearrr[emoji1] [emoji1] [emoji1] usiombee
Live bila chenga nilidondoka km mzigoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma mwanzo mwisho geniveros umejibu vizuri sana. Una kila sababu ya kuheshimiwa na wengi humu. Bandiko lako #86 lilifanya nitabasamu. Unajitambua na kila la heri kwenye maandalizi ya kuingia chuo kipya. Nasubiri mualiko wa kuja kula ubwabwa na kucheza rumba.


[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ahsante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom