Geniveros interview on muosha rungu live show!

Nikiunga dots naona ulijitoa zaidi ya uwezo ili tu ndoa iende,hongera
Mumeo alikuwa Na nn special labda

DJ sepetu
huyu inaonekana alikua na true love sema huyo jamaa wa kwanza kumuoa ni duanzi bonge la ndezi,haiwezekani mwanamke kabadili dini,kabadili career na worse enough ka-abandon her family kwa ajili yako halafu wewe unamuona fala unaleta madharau huo ni upimbi wa hali ya juu sana,
geniveros mark my words huyo jamaa hana muda mrefu mbio zake za sakafuni zitaishia ukingoni atajuta sana atarudi kuomba msamaha sasa ole wako umkaribishe tena.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hayo yalishatokea mbona nimesema hapana kwa herufi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameen my dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…