Geniveros interview on muosha rungu live show!

Maserati ni aina ya luxury cars made in Modena-Italy among cares yenye pesa ndefu. Sijui nime clear the cloud???
Hapana, hebu nenda Google type hilo jina alafu urud hapa useme umeona nn
 
0aa3447e7d761ae9da7346dd9a33efd6.jpg

Hiki ndicho Nilichokimaanisha,kabla ya kuwa mkaidi jitahidi angalau ujue mengi
 
Espy nipe mfano Wa maswali my

DJ sepetu
Idea yako ni nzuri, lakini jinoe kwanza. Jaribu kufuatilia hot interviews zinavyokuwaga then jifunze kitu. Uwe na mpangilio mzuri wa maswali na yenye tija.
Na uwe unatuzuia kuingilia kabla haujamaliza, hadi umalize ndio uturuhusu.

Watu huwa hatuchukulii serious interview zako as there is something missing, fuatilia ushauri ambao huwa unapewa then ufanyie kazi.
 
Njoo pm unipe mfano Wa maswali kiroho safi tu!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom