Ni nzurigeniveros na swali moja tu kama hutojali.
Unaizungumziaje interview hii na una ushauri gani kwa muuliza maswali?
Hapana, hebu nenda Google type hilo jina alafu urud hapa useme umeona nnMaserati ni aina ya luxury cars made in Modena-Italy among cares yenye pesa ndefu. Sijui nime clear the cloud???
AsanteNi nzuri
Ushauri aongeze ufanisi kwenye maswali kuna mengi niliyategemea sikuulizwa haya mepes mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Selfie [emoji5] [emoji5][emoji1] [emoji1] [emoji1] cha 500 tu!sio kikubwa Mungu ni Mungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa!! Si mpaka nibanike.
Huo ushauri ashapewa sanaa ila haufanyii kazi, hata inapoteza ladha kwakweli. Nimefuatilia as ni wewe unahojiwa.Ni nzuri
Ushauri aongeze ufanisi kwenye maswali kuna mengi niliyategemea sikuulizwa haya mepes mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yepi hayo magumu yaweke hapaNi nzuri
Ushauri aongeze ufanisi kwenye maswali kuna mengi niliyategemea sikuulizwa haya mepes mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utanitambuaHahahaaa!! Si mpaka nibanike.
[emoji1] [emoji1] mi sijui we ndo unajuaKama yepi hayo magumu yaweke hapa
DJ sepetu
Haitotokea tenaaa, ilitokea ile moja tu, nayo ya ukweli sijui yalikuwa mangapi hata matatu hayafiki.
Hapana, hebu nenda Google type hilo jina alafu urud hapa useme umeona nn
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeanzaaa tena?Ni jambo gani ushafeli maishani
DJ sepetu
Idea yako ni nzuri, lakini jinoe kwanza. Jaribu kufuatilia hot interviews zinavyokuwaga then jifunze kitu. Uwe na mpangilio mzuri wa maswali na yenye tija.Espy nipe mfano Wa maswali my
DJ sepetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbeeee nakumbukaHaitotokea tenaaa, ilitokea ile moja tu, nayo ya ukweli sijui yalikuwa mangapi hata matatu hayafiki.
Hata dude huamshwa tena! Kwanini ulichagua avatar ya lips[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeanzaaa tena?
Kumuamini mtu 100%failure kubwa sana ktk maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm unipe mfano Wa maswali kiroho safi tu!Idea yako ni nzuri, lakini jinoe kwanza. Jaribu kufuatilia hot interviews zinavyokuwaga then jifunze kitu. Uwe na mpangilio mzuri wa maswali na yenye tija.
Na uwe unatuzuia kuingilia kabla haujamaliza, hadi umalize ndio uturuhusu.
Watu huwa hatuchukulii serious interview zako as there is something missing, fuatilia ushauri ambao huwa unapewa then ufanyie kazi.