Geniveros interview on muosha rungu live show!

Hiki ndicho Nilichokimaanisha,kabla ya kuwa mkaidi jitahidi angalau ujue mengi
Nisingekua najua hayo mengi wadhan ningeuliza basi, kuna zaid ya hapa ndio maana nikauliza, we unajua hapa tu
 
Nisingekua najua hayo mengi wadhan ningeuliza basi, kuna zaid ya hapa ndio maana nikauliza, we unajua hapa tu
Najua na huko unakomaanisha na ndio maana nikakuambia ninachomaanisha Mimi. Unataka nikubali nilimaanisha Huyo porn star wako???
Wewe sio wa kwanza kuuliza,na ndio maana nikakujibu vile. But unajaribu Ku force unachokihisi weww. Basi changanya yote,yangu na ya kwako jibu liwe sawa,full stop.
 
Teh teh...Ndo Mana hizi interview si wengine zitupitage tu...Mana bila kudanganya hatujisikii raha..Wewe labda nikufanyie interview mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We hapana maana nikidanganya utanishushua, hivyo itabidi niseme tu ukweli, of which ni ngumu mno.
 
Hi mpenzi, kinaendelea nini kuleeee!
 
Douta naomba unikumbuke kwenye maombi pepo la tamaa linikimbie..Maneno yako yanachoma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We hapana maana nikidanganya utanishushua, hivyo itabidi niseme tu ukweli, of which ni ngumu mno.
Yani wewe na baba watoto wako mko sawa..Basi mkanye na mwanao siku hasije akajiachia mpaka akatoa siri za familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…