Wanangu nawafanya marafiki zanguHili pia nimelishuhudia sana kwa watoto wengi!
Ni malezi yapi ni bora kwa watoto
DJ sepetu
Wapi Na vipi ulikuna Na mzazi mwenzio mumeoWanangu nawafanya marafiki zangu
Nawapa Uhuru ila wasivuke mipaka
Wamjue Mungu na wamuogope pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona interview yako inaruka ruka kama chura? Hujajipanga vizuri?Pole sana,
Wazazi malezi yao yameathiri kwa namna yoyote namna ulivyo ukubwani?
Kivipi labda
DJ sepetu
Sijaelewa naomba urudie tafadhaliWapi Na vipi ulikuna Na mzazi mwenzio mumeo
DJ sepetu
Divorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]Una mume tuanzie hapa
DJ sepetu
Why umekuwa divorcedDivorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Utajua yote mukuru
DJ sepetu
Niliondoka mwenyewe baada ya vitimbi kuzidiWhy umekuwa divorced
DJ sepetu
Divorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliingia dini gani ukitoka dini ganiNiliondoka mwenyewe baada ya vitimbi kuzidi
Mtu anakutamkia hadharani kua hakutaki aiseeehh!!
Kingine kikubwa kabisa I foresake my family especially my dad who raised me with greater love and care for him then akawa ananiumiza
Kwa sababu nilibadili Dini without dad's consent nilikaa 3yrs bila kuongea na baba mzazi
Aiseeehh!acha tu!so alivyoanza vituko nikarudi kwa mzazi wangu nikaomba radhi nikarudi kwenye dini Yangu sitarudia tena ule ujinga even in my next seven births
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali my dear thank u!
duh! hizi itakua akili za usiku hizi.geniveros Eti Kweli Wewe Ni muosha rungu Kwenye Bwawa Lenye Tope?
Pole!Niliondoka mwenyewe baada ya vitimbi kuzidi
Mtu anakutamkia hadharani kua hakutaki aiseeehh!!
Kingine kikubwa kabisa I foresake my family especially my dad who raised me with greater love and care for him then akawa ananiumiza
Kwa sababu nilibadili Dini without dad's consent nilikaa 3yrs bila kuongea na baba mzazi
Aiseeehh!acha tu!so alivyoanza vituko nikarudi kwa mzazi wangu nikaomba radhi nikarudi kwenye dini Yangu sitarudia tena ule ujinga even in my next seven births
Sent using Jamii Forums mobile app
Am sorry sitasema ili kuepusha maswali mengine but their some people here know wapi nilipokua mwanzo na sasaUliingia dini gani ukitoka dini gani
Je vitimbi hivi vilianza wakat hujazaa!?
DJ sepetu