Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Wanangu nawafanya marafiki zanguHili pia nimelishuhudia sana kwa watoto wengi!
Ni malezi yapi ni bora kwa watoto
DJ sepetu
Nawapa Uhuru ila wasivuke mipaka
Wamjue Mungu na wamuogope pia
Sent using Jamii Forums mobile app