Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Waiting yani unishtueUsijali welcome tomorrow mumu will be on the show
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waiting yani unishtueUsijali welcome tomorrow mumu will be on the show
DJ sepetu
[emoji101]Saa nne morning
DJ sepetu
Ooooh! Basi sawa, msalimie twin wangu.Yaa! Kafanana Na binti yangu kweli
DJ sepetu
Mini me.Is that you
DJ sepetu
Yani nimesoma posts zote ila hii imeniumiza roho sana...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nilicheat last year and I don't regret!maana jitu lenyewe lilikua halieleweki nilimkomesha kidogo na yeye then nkalipiga chini
Siwezi cheat kwa sababu ya kitu au cheo
Mkuu wa shule mmoja alikua ananisumbua mnoo ila nilikomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa! Kumbe ulikuwa unanipenda kiuongo uongo!!Kuanzia Leo nakupenda kikweli kweli
DJ sepetu
Hivi mtu anayekucheat wewe kweli anatafuta sababu!! Na anaanzaje kujutia!!!Yani nimesoma posts zote ila hii imeniumiza roho sana...
Kwanini ulinicheat lakini?
Kwa nini?Hivi mtu anayekucheat wewe kweli anatafuta sababu!! Na anaanzaje kujutia!!!
Sidhani hata kama huo moyo unao babu.Kwa nini?
Ina maana mimi sina moyo wa nyama?
Na hii shkamoo ni ya dhati toka moyoni au unataka kunifanyia uchoyo?Sidhani hata kama huo moyo unao babu.
Shikamoo!
Nataka kukuomba hela.Na hii shkamoo ni ya dhati toka moyoni au unataka kunifanyia uchoyo?
afu nikikupa hela wewe unanipa nini?Nataka kukuomba hela.
Nakushukuru tu babu yangu.afu nikikupa hela wewe unanipa nini?
Nakushauri wahi kanisani ukamshukuru Mungu...Nakushukuru tu babu yangu.
Haya.Nakushauri wahi kanisani ukamshukuru Mungu...