Nilicheat na wewe au umesahau?[emoji1] [emoji6] [emoji6]Yani nimesoma posts zote ila hii imeniumiza roho sana...
Kwanini ulinicheat lakini?
Hivi kumbe? Mbona hukunambia?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] si umenikimbia sa hv tena waniona kizeeHivi kumbe? Mbona hukunambia?
Basi fanya hima tucheat tena. Maana hatukucheat vizuri ujue...
Usifanye hivo bhana... mi na wewe hatujafahamiana gengeni[emoji1] [emoji1] [emoji1] si umenikimbia sa hv tena waniona kizee
Sent using Jamii Forums mobile app
We s umenikimbia sasa ntakuona wapi tenaUsifanye hivo bhana... mi na wewe hatujafahamiana gengeni
Si palepale pa siku ile?
Tukitoka pale utanikimbia weye tena[emoji6] [emoji6] [emoji19]Si palepale pa siku ile?
Ayaaa... hapa naona ishakula kwangu mazima
Kumbe je?pambana na hali yako tu!!Ayaaa... hapa naona ishakula kwangu mazima
Ayaaa jamani...
[emoji19] [emoji6] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] nini?!Ayaaa jamani...
Roho imeniuma[emoji19] [emoji6] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] nini?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo nimeuachia kazi ya kusukuma damu
Hahaha....Moyo nimeuachia kazi ya kusukuma damu
Sasa pambana na kiherehere hicho[emoji6] [emoji6] [emoji6] cha kutaka kunisumbuaMoyo nimeuachia kazi ya kusukuma damu
Hapana hatuna undugu[emoji6]Halafu sijui kwa nini siku zote nakiwa nakufananisha na everlenk nahisi mna undugu hivi eenh