Geniveros interview on muosha rungu live show!

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa hivi mmekua mjanjaaa!!ngoja nianze kua mlokole tenaa
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Kumbe lengo la kubadili jina ni kificha makovu ya nyuma eee..
 
Bila shaka atakuwa ashakujua kwa mtindo huu na huenda anakucheza shere sana huku wewe ukijua haja kutambua tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Jambo la muhimu jitahidi mtu asijue ID yako, ukitaka kutumia na kukiwa na mtu ambaye anaweza kuigundua basi uhakikishe hawezi kuigundua.

Kwa mimi nikiona mtu anaperuzi JF kwa kutumia App ni rahisi sana kumdaka na kuijua ID yake, ila bado sijabahatika kumdaka mtu maana wengi ninaokutana nao hasa kwenye usafiri wa public nawakuta wako busy na mitandao mingine kama FB, Insta n.k
Hapana sio hii kuna mtu kazini aliona I'd yangu nkabadili jioni fastaa...nakumbuka ilikua alhamis ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…