Geniveros interview on muosha rungu live show!

Am sorry sitasema ili kuepusha maswali mengine but their some people here know wapi nilipokua mwanzo na sasa

Vitimbi vilianza baada ya kupata second child!

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uliegemea upendo kwa watoto ukamsahau!
Au ulikuwa Na usafi duni
Au alitaka kuoa mke Wa pili ukagoma!
Lipi sahihi zaidi

DJ sepetu
 
Labda uliegemea upendo kwa watoto ukamsahau!
Au ulikuwa Na usafi duni
Au alitaka kuoa mke Wa pili ukagoma!
Lipi sahihi zaidi

DJ sepetu
Kati ya hayo hamna jibu hapo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kubwa fedha zilikua zinamchanganya ndo maana naweza sema hivyo!

Maana baada ya kuongezeka kipato ndo akawa anaanza mazingaombwe hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya hayo hamna jibu hapo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kubwa fedha zilikua zinamchanganya ndo maana naweza sema hivyo!

Maana baada ya kuongezeka kipato ndo akawa anaanza mazingaombwe hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ulimkuta maskini nyota yako ikamtajirisha!
Labda ulifanya uchunguzi pengine alipata hawara!

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…